Nimemuona mwana jf kitaa

Kumbe bado kigori
Hujamuumbua mwanamme
Umejiumbua uliyejirahisi kwa PM tu

Kabla hujamuumbua mtu angalia na kwako itaonekanaje!!

Afu huna kifua cha kuweka kitu
GX100 umeshindwa kuiweka kifuani
Je, ukipewa makubwa si utaenda tangaza ITV
Hovyoooo!
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
 
Kumbe bado kigori
Hujamuumbua mwanamme
Umejiumbua uliyejirahisi kwa PM tu

Kabla hujamuumbua mtu angalia na kwako itaonekanaje!!

Afu huna kifua cha kuweka kitu
GX100 umeshindwa kuiweka kifuani
Je, ukipewa makubwa si utaenda tangaza ITV
Hovyoooo!

mbona unamwaga povu au hii ID yako nyingine? kaumbuka kwa taarifa yako!
 
Haijalishi kama ni ID yangu au lah!

Ninachosema ni kuwa
Umebwabwaja!

Na wewe uliyetongozeka kwa PM
Ndo umejiumbua zaidi
Hata kama ungeenda na Vog ya 2012

Sasa ukiolewa weye, siku mumeo ana presha
Jogoo kashindwa kuwika
si majirani wote wataambiwa?!!!

Huna kifua cha mwanamke ndio nachojaribu kukueleza.

huyo kaka sio mara yake ya kwanza inavyoonesha sbb huwezi kumvamia

mwanamke siku za mwanzo na kuanza kutongoza kwa kujinadi vitu vya hali ya juuuu

wapo wenzangu wengi watakua wameingia mkenge tokana ha hizo pvt msg nilijua kabisa

ni wale wale ambao hutumia pesa kama fimbo kwa wanawake wanyonge.

nimeenda pale nikitaka kuhakikisha na ukweli ndio huo kua aache hio tabia mbaya!

nashindwa kuelewa wewe imekuuma nini hasa?

huo ni ujumbe kwake kua sio kila mwanamke ni mshamba kwa watu wenye pesa!
 
ahaaa kwa hiyo mpoleee hakuwa ametongozeka kwa PM ila alitaka amtoe jamaa nishai...au ?
 
Ungemjibu kwa PM, na kumuuambua kwa PM

Mliyaanzia kwenye PM
Mngeyamaliza kwenye PM
Kama unajua maana ya ustaarabu
Mwehu akikuponda ya yai vinza, na wewe uchukue yai vinza umponde???

Mbona wakati anaanza tu kukutongoza
Zile popoz zake zote za PM
Ungekopi na kupaste hapa
Nadhani umgemuumbua zaidi

Kwa sasa natafsiri hamkukubaliana terms tu
He was one of your interest
Hivi nachoma mafuta yangu na muda kumfuata bazazi??

Pia nakutafsiri unaweza kwenda extreme za ku-blackmail mtu
Kama umeamua kumuumbua kwa staili hii
Akchwali, umenitisha
huyo kaka sio mara yake ya kwanza inavyoonesha sbb huwezi kumvamia

mwanamke siku za mwanzo na kuanza kutongoza kwa kujinadi vitu vya hali ya juuuu

wapo wenzangu wengi watakua wameingia mkenge tokana ha hizo pvt msg nilijua kabisa

ni wale wale ambao hutumia pesa kama fimbo kwa wanawake wanyonge.

nimeenda pale nikitaka kuhakikisha na ukweli ndio huo kua aache hio tabia mbaya!

nashindwa kuelewa wewe imekuuma nini hasa?

huo ni ujumbe kwake kua sio kila mwanamke ni mshamba kwa watu wenye pesa!
 
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.
 
Ungemjibu kwa PM, na kumuuambua kwa PM

Mliyaanzia kwenye PM
Mngeyamaliza kwenye PM
Kama unajua maana ya ustaarabu
Mwehu akikuponda ya yai vinza, na wewe uchukue yai vinza umponde???

Mbona wakati anaanza tu kukutongoza
Zile popoz zake zote za PM
Ungekopi na kupaste hapa
Nadhani umgemuumbua zaidi

Kwa sasa natafsiri hamkukubaliana terms tu
He was one of your interest
Hivi nachoma mafuta yangu na muda kumfuata bazazi??

Pia nakutafsiri unaweza kwenda extreme za ku-blackmail mtu
Kama umeamua kumuumbua kwa staili hii
Akchwali, umenitisha
Unaua Kongosho......taratibu...
 
Back
Top Bottom