Nimemuona mwana jf kitaa

ulinisubiria stendi ipi wewe? jibu haraka kabla sijarudish salam za nu yr
halafu yule alokutongoza naskia alikuja na guta...
Stand kubwa jaman. Afu ulivyonchomesha mahindi wewe! Ole wako nikukamate..

Yeah alikuja na Guta mbaya zaidi la kuazima... Unanshaurije ndugu yangu? Nimkubali au nimkatae?
 
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka

mhh hii nouma jamaa kaanza mwaka vibaya yani umeamua kumuanika jamvini kweli atajailiwa na sahizi watu wanatafuta kujua ni nani na tena mlishaanza kupm hadi mkafikia kukutana ila nawe jeep ya kuazima au...? ila hukumcheki kwenye wallet inawezekana alikuwa na tembocardmastercard au hata bili ulilipa wewe? cpati picha mzee alivotoka mapafyum full pamba na nn na nn na mazagazaga yote na swaga alafu demu anakuja na jeep duh kweli nouma vp cm alikuwa nayo ya kichina au aliazima blackberry au alikuja na laptop kabisa ungepiga picha basi then ukarusha habari kamili na picha.
lakini huyu brazaa alikuboa nn hadi ukamfanya kuwa mdogo hv inabidi uwe makini coz unaweza ishia kuwa mke wake pamoja na yote yaliyotokea wish to know more wat happened zea
 
Stand kubwa jaman. Afu ulivyonchomesha mahindi wewe! Ole wako nikukamate..

Yeah alikuja na Guta mbaya zaidi la kuazima... Unanshaurije ndugu yangu? Nimkubali au nimkatae?

nilikwambia uje stendi ya NDEGE/EROPLENI khaaa! watu engine bana...
mpotezee hadi anunue lake huyo, ndo nini kusafiria nyota za wengine?

HAPPY NEW YEAR SL!!!!:hug:
 
Ha ha ha ha
Mbona kuna mtu alidefine wife material
Eti katengenezwa kwa zege na matairi??

Ngoja nijichunguze kama nina zege
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.
 
nilikwambia uje stendi ya NDEGE/EROPLENI khaaa! watu engine bana...
mpotezee hadi anunue lake huyo, ndo nini kusafiria nyota za wengine?

HAPPY NEW YEAR SL!!!!:hug:
Hahahaha! Mwenzio na buku tano yangu afu nije stand ya ndege???

Nampotezea kabisa manake huu mwaka ni marufuku mtu kusafiria nyota ya mwenzie,.. Nafurahi vile salam za nu iya zimejibiwa...lol
 
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.

Binti unachemka!! alichofanya huyo ndio ulichofanya hapa wewe!! tatizo tu hukumkubaliana ndio maana umekuja hapa kuanika na kutaka kujionyesha kuwa wewe unazo!!

Hivi mfano angekuja na Vogue au gari yoyote ambayo wewe unaona ni ya maana, ungekuja kusema hapa au mngekubaliana? Kwanini mambo yenu ya PM uyalete hapa? ni ukosefu wa staha.

Mbona wakati unakwenda kuonana nae hukutangaza hapa kuwa jamani, naenda kukutana na jamaa anayejidai nimkomeshe... hizi ni tabia za machangu wa kisasa, naamini wewe sio lakini!!
 
Ha ha ha ha
Umbea ni ugonjwa

Naenda kodi matarumbeta
Pilau kwa King'asti
Wewe andaa maturubai ya shughuli
fanya haraka basi mpolee kopi hata mbili tu za kuanzia, mi nataka nikapate staftahi
 
Back
Top Bottom