Alafu siku zote kwenye miti mkuu hakuna wajenzi, bahati mbona hazijagi kwa mwanaluwala! aaaaaaaaahg!
Mkuu kama gundu vile hata kutongozwa hutongozwi kabisa
Wala bahati ya kuambiwa unapendwa kwenye mtandao haupati
Yaani ni balaa mkuu

Mungu akikunyima uzazi, je utajiua???? Fahamu kwamba kupata mtoto ni majaaliwa.mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
Yaani mkuu we acha hata marafiki hamna, Hata kwa bahati mbaya, alafu nikaambiwa ni wrong! hamna du! kweli nilisilibwa na kinyesi cha ng'ombe!
if u realy mean that, then pm me, unambie na tarehe uliyoanza kutoa damu ya hedhi mwezi ulopita. Lakin raha ya kuitwa mzazi ni kulea! Lizingatie nalo!napenda kuwa na mtoto kuliko chochote tulizo
Afu nyie mbona mnataka mimba kabla ya ndoa
Fungeni ndoa kwanza mtoto akazaliwe ndani ya ndoa
Mbona mnataka raha kabla ya wakati
ujue nini rocky yeye ana mtoto anadai hataki kuzaa tena bila ndoa
anajua kila kitu ananibania tu bwana
usiichukulie jf serias mkuu ni ushauri tu nakupa niliona ma pm yako kama nyota angani pole