Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake
tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini
nimemwambia anipe mimba hataki
sina raha kusema kweli
hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu
maisha nini bwana bila family?
sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali
KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI?
SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA

Smile,naeza sema tu,you are lucky!.get hold of yourself and Mungu akutangulie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom