Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
- Thread starter
- #61
napenda kuwa na mtoto kuliko chochote tulizoDuh!
Llakini anza kwa kufikiri in worst scenario kuwa huyo rafiki unayemwita mchumba anakudanganya ila yuko tayari kukupa ujauzito.. then..
Ushauri wangu..kupata mtoto siyo issue ..unaweza ku-pm vijana kibao hapo jamvini ukacheki afya zao halafu wakakutundika mimba... Issue ni maisha yenu ya baadaye..wewe na mtoto..Hapo baadaye unaweza toa machozi wakati mtoto akikuuliza swali moja tu halafu ukajiona ulikuwa selfish..
- Ni kweli itakuwa faraja na raha kwako kupata mtoto..
- Lakini inaweza kuwa karaha kidogo kwa mtoto kulelewa na mzazi mmoja wakati baba yuko hai..atajisikiaje? Jiweke sehemu ya mtoto kabla hujaamua..
Anyway.. Fikiri kwanza Kupata mtoto bila kuwa na baba mwenye msimamo halafu amua.. na jitarishe kwa yote.. inawezekana ila inatakiwa ujitayarishe kisaikolojia..