Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

PakiJinja

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,704
15,899
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.

Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.

Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.

Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.

Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.

Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.

Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.

Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.

Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.

Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
 
Hapo kwenye lugha binafsi nilimjua mapema kuwa uchache wa maneno na Ile kujifunzia mtaani kumemfanya awe na maneno yasiyo sahihi
NB:mbona bangala aliondoka kwa shida zaidi yanga lakini sijawahi kumsikia akiongea neno lolote au kwa kuwa yuko Tz wapo kina Mukoko n.k ye akae kimya hizi team ni za kupita
 
Tatizo anapenda kuongea na anapenda sana attention
 
Mimi nilikua naangalia jana na nilifanikiwa kuangalia ile interviwe kwa muda wa dakika 30 kabla ya mechi ya Yanga haijaanza.

Nilichokigundua kwa Mayele. Anapenda attention sana halafu yuko very short tempered. Comments za Instagram kila star anasemwa lakini yeye anazichukulia very personal. Lakini pia kuna muda anavyoongea ni kama anajivunia sana na mshahara anaolipwa yan ni kama vile unampa kiburi sana.

Pia nikashangaa hilohilo lililokushangaza wewe. Kuwaongelea vibaya waarabu na wakati bado anacheza hukohuko kwao. Hajajifunza kilichomkuta Lukaku akiwa Chelsea.
 
Itakuwa unashida mahala ndugu yangu.

YANI KABISA SERIOUS UNAKAA UNAMSIKILIZA MAYELE ALMOST SAA LIZIMA.

Sikiliza watu wa maana Wanaoweza kukusaidia kimaisha na kupata Mawazo mapya Mbadala.

BINAFSI HUWA NAWASOMA NA KUWASIKILIZA ZAIDI HAWA WAFUATAO.

Myres manroe.
Barbar Onelly
Julius Nyerere.
artin Luther King Jr.
Tony Robbins
John F. Kennedy
Winston Churchill
Mahatma Gandhi
Nick Vujicic
Abraham Lincoln
Brian Tracy
Nelson Mandela
Oprah Winfrey
Eric Thomas
Margaret Thatcher
Robin Sharma
Zig Ziglar
Barack Obama
Chris Gardner
Jim Rohn
Les Brown
Ronald Reagan
Simon Sinek
Socrates
Brené Brown
Darren Hardy
 
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.

Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.

Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.

Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.

Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.

Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.

Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.

Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.

Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.

Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
Nimemsikia anasema yeye huwa hakai timu moja zaidi ya miaka 2 hata Pyramid mwisho ni mwakani.
 
hata wewe kiswahili kinakusumbua japo umeandika maneno mazuri tu,sasa neno kuonyesha sio sahihi,sahihi ni kuonesha ukiandika kuonyesha maana yake ni kuonya,kupelekea sio sahihi maana linatokana na kitenzi peleka,ambacho humaanisha kutoa kitu mahala fulani na kukipeleka sehemu nyingine,neno sahihi ni kusababisha.Ongeza bidii
 
Hili jamaa ni senge linapenda Sana umaarufu ambao Kwa misri halina kwahy linaona sehemu pekee ya kuoshea ni Kwa vilaza wa Tanzania .
Ni sahihi, alikuja hajulikani akiwa amepauka. Alipofika mjini, akaogeshwa kwa maji ya chumvi ya Dar. Ukoko na utandu ukamtoka usoni, akang'aa. Akaimbwa na akapata ufalme.

Akajiona yeye ni bora kuliko Yanga na bila yeye Yanga si kitu. Akaenda Misri, huku Yanga ikashine pasipo yeye. Timu yake ikaishia Makundi Yanga ikasonga hadi kutolewa kwa mizengwe.

Ufalme Ukahamia kw Pacome, Max, Azizi, Yao, Mudahiri na wanajeshi wengine. Haongelewi, hasifiwi, hatafutwi na amesahaurika. Sasa anatafuta huruma na kuisemea na kuilaumu Yanga kwa kila jambo.

Tulishamsahau na maisha yanaendelea huku. Akiendelea kuleta mdomo, tutaanza kampeni ya kumu unfollow kwenye mitandao ya kijamii Sasa.
 
Bado ana waumiza vichwa.. Kama ilivyokuwa kwa Fei Toto ndivyo itakapo kuwa kwa wafuatao.....
Utopolo mkiachwa muachike..
Sidhani kama kuna anayeumizwa kichwa naye. Kinachojadiliwa hapo na aliyoyaongea mwenyewe.
Mayele ndiye anayeshindwa kuachana na Yanga.
Ukisoma between the lines, utaona kuna kaki kundi fulani ka watu kanatafuta namna ya kumporomosha Hersi Said, na kaki kundi hako kamekuja na mbinu ya kutumia wachezaji wasiojielewa kwa kuwatafutia timu halafu kana walisha maneno.
Huyo Jasmine ni sehemu ya wasuka mipango hiyo.
 
Back
Top Bottom