Nimemkuta anafungasha mizigo yake akitaka kuondoka!

Duh, mpwa mbona swali lina maelezo mengi hivyo? Ok, mimi ningeomba nanihiii mara ya mwisho ili tuagane kwa amani....halafu baada ya hapo lazima angesahau tu maana ningemrejesha kama enzi zile za kukutana nae mara ya mwanzo mwanzo! wataaalam wanasema hata mkeo-mumeo akikuudhi basi nendeni kiwanjani; mkirudi huko mmmmh kila mtu kachokaaaaa, hata kuoga hamtakumbuka tena
 
Huyo naachana nae. Hata siku moja NO haiwezi kuwa YES. Mpe na pesa ya nauli, ikiwezekana mpelekeni umfanyie shoping matata kwa ajili ya kumuaga.
 
wapo watu wahivyo kuna mtu namfahamu kabisa yupo kama huyo mama, chamsingi nikuamua moja jaribu kukaa nae kumuomba msamaha pasipo kutumia hasira na hili ufanikishe hili jambo la kwanza kabisa amini yale aliyokueleza kuwa ni yakwel na chanzo chake yeye kufanya maamz, ukiweza kuwa na imani juu ya maelezo yake utaweza kutatua tatzo na kudumishandoa yenu upya.
 
People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...[/QUOTE]

Kuna siku itabidi niwaombe kina mama wanieleze ni nini hasa wanataka katika mahusiano na ni vitu vipi vikifanywa na mwanaume ama vinawafurahisha ama kuwachukiza. Hilo ni eneo ambalo siku zote bado huwa napata maksi za chini sana pamoja na kuwa huwa najitahidi sana kuwa makini.
 
jichunguze inawezekana una matatizo hayo aliyoyataja..........usione upo sawa kwa kila jambo.......inawezekana jambo unaloona dogo kwako ni kubwa kwake...........kuna wadhamini wa ndoa unaweza kuwasiliana nao mkaweza kuongea na kusuluhisha na kurekebishana.............ubabe kwenye ndoa hautakiwi
 
People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...

Umeongea ukweli mtupu AshaDii, unakuta mwanamke mpole, au alishawahi kusema siku moja akapata response ambayo sio nzuri, na hata akapata majibu kabla hata hajamaliza kueleza anachotaka kusema, ukweli kuna wanaume ambao hawana mda wa kusikiliza mawazo au kujua hisia za wake zao, kila anachofanya mke sio sahihi. Mtu wa aina hiyo haina haja kuendelea kulumbana nae, unavumilia utakapoona umeshindwa unasepa. Maisha popote Bwana, kwa nini uishi kwa machungu na maumivu siku zote?
 
Nmsaidia kuondoa mizigo yake ndani coz akibaki kitachofuata ni kukumaliza hata kwa sumu walaiiii
 
Haya Maswali yako bwana hivi huwa ni wewe mwenyewe unayaweka kama mfano ndugu Mtambuzi?

Haya maswali yamejitokeza sana humu.........kama ingekuwa haya maswali ninayouliza humu ni matukio ambayo yamenitokea bila shaka ningekuwa ni mtu wa ajabu sana.
Labda niweke wazi kwamba miongoni mwa maswali ninayouliza humu ni matukio ambayo yamewatokea watu walionizunguka na ambao kwa kuniamini wamekuwa wakinishirikisha katika kutafuta suluhu............. sababu ya kuweka haya maswali humu ni ili kuwashirikisha wana JF na kupata maoni mbalimbali ambayo yatawasaidia wale walioko au wanaokumbana na mikasa ya aina hiyo. binafsi nadhani sio vibaya kuweka jambo like assumption, kama alivyosema mdau mmoja humu, na wengine wakanufaika na maoni ya wachangiaji........... kuna mifano mingi ya wadau humu JAMVINI ambao wenyewe wanakiri kuwa wameshakutana na mikasa ya aina hiyo na huwa wanAtoa views zao. shida iko wapi?
 
wanawake ambao siyo waongeaji sana wanakaa na vitu rohoni, mwisho wa yote anaamua sasa basi.
 
Ni vema kukaa na kuzungumza pale mnapotofautiana. Ni hatari sana kuweka mambo moyoni, ni sawa na kukaa na bomu ambalo laweza lipuka muda wowote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna siku itabidi niwaombe kina mama wanieleze ni nini hasa wanataka katika mahusiano na ni vitu vipi vikifanywa na mwanaume ama vinawafurahisha ama kuwachukiza. Hilo ni eneo ambalo siku zote bado huwa napata maksi za chini sana pamoja na kuwa huwa najitahidi sana kuwa makini.


Tata Wanawake ni kama dunia kuna sehemu ya joto/baridi... Milima/mabonde... Ukame/non Ukame... na mambo kibao... Hivo utakapo kuenda mahala popote pale duniani ni muhimu uakajua mazingira ya huko ili utambue ni kwa style ipi utaishi... tokana na mazingira na hata hali ya hewa na pia mila na tamaduni za pale mahala... Basi na mwanamke ni hivo hivo... waweza pata anaependa kitu hiki hataki kile... Mwingine akapenda alokua anachukia the former na kuchukia alokua anapenda the former.... ni kazi kweli kweli....

Kikibwa katika mahusiano ni compromise... woote mmetoka mazingira tofauti... But mkipenda mnajitiahidi kwa kila hali kila mmoja ajitahidi aishi vile mwenzie anataka... na hapa ndio maaana kupendana ni muhimu... For kama mwapendana mwaweza vumilia lolote toka kwa Mpenzi mradi iwe within borders...

utumetofaujutiana kabisa...
 
Umeongea ukweli mtupu AshaDii, unakuta mwanamke mpole, au alishawahi kusema siku moja akapata response ambayo sio nzuri, na hata akapata majibu kabla hata hajamaliza kueleza anachotaka kusema, ukweli kuna wanaume ambao hawana mda wa kusikiliza mawazo au kujua hisia za wake zao, kila anachofanya mke sio sahihi. Mtu wa aina hiyo haina haja kuendelea kulumbana nae, unavumilia utakapoona umeshindwa unasepa. Maisha popote Bwana, kwa nini uishi kwa machungu na maumivu siku zote?


Hekima Moyoni... naona umenipata maana yangu kabisa...
Na kuna ile kua siku hizi wanawake wamechoka an wengi
vichaa hasa, hivo akipata mpole anajisahau kabisa!
 
Back
Top Bottom