Nimemisi x boflo wangu

Usiendekeze zinaa, kaa na utafakari maisha yanayompendeza Mungu.
 
Ni vema ukaeleza hisia zako, wengine hapa wanajifanya wema sana kumbe wachafu sana na hawaombi ushauri kwasabu hajui madhaifu yake. Mimi nataka kufunga ndoa hivi karibuni nimeshaanza michakato ila nikikumbuka mazuri ya demu wangu zamani lazima nimpigie simu kumsalimia, naogopa kurudiana naye kwasabu sasa naye ni mchumba wa mwengine nami nina mchumba.
 
Mawazo haya hiyoyananijia kwasabu mtarajiwa yuko mbali kikazi nahisi angekuwa karibu ningekuwa imara sana katika mahusiano kwakuwa mwaminifu. Kwahiyo mlio mbali jamani angalieni
 
I real miss my ex........, nataman ningepata japo dakika 5 tu za kumuona tena na kuongea nae japo mawili matatu!!
 
nimeshtukia watu wa hii MMU forum hawanaga much cha kuongea ndo mana topic nyingi utafikiri watu wanaongea kwenye cm:decision:
 
Ni vema ukaeleza hisia zako, wengine hapa wanajifanya wema sana kumbe wachafu sana na hawaombi ushauri kwasabu hajui madhaifu yake. Mimi nataka kufunga ndoa hivi karibuni nimeshaanza michakato ila nikikumbuka mazuri ya demu wangu zamani lazima nimpigie simu kumsalimia, naogopa kurudiana naye kwasabu sasa naye ni mchumba wa mwengine nami nina mchumba.

sema unataka mchango haya hebu taja namba ako ya mpesa,shoga pesa
 
Back
Top Bottom