Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

Sasa pale pale ungemuuliza jamaa huyo ni nani wake ili ukipata jibu la jamaa kama ni mchumba umkabidhi rasmi pale pale ungetangaza waje wafuate nguo zake. Ila katika maelezo umesema ni mpenzi wako, kwahiyo huna mamlaka yoyote juu ya huyo binti maana hata hatua ya uchumba bado, hana hata pete ya uchumba wako. Pia tafakari uwezo wako wa kitandani inaonesha nesi haridhiki kabisa na wewe ndo maana anaenda kwa jamaa maana wewe ni kama kaka yake. Yaani kwa jamaa anapata raha zote hadi anaimba nyimba za mahaba na kuwa kero kwa majirani na akiwa kwako haumlizi hata mguno hakuna haojitambui bado? Huyo nesi siyo saizi yako kabisa usipende kwa macho kaka angalia zana zako za kazi, tafuta saizi yako. Pia ni Mungu amekuonesha mapema kwamba huyo hafai kuwa mkeo, mwachie jamaa wala hiyo mimba si yako ukute wote wawili mliambiwa ana mimba na wote mnatunza mimba. Kama ulikuwa unaishi naye geto nakushauri mgawane vyombo kila mtu aanze upya. Ukifanya ukorofi nakwambia utafanyiwa kitu mbaya na huyo dada na jamaa yake maana kama alikuwa anakudanganya anaenda semina kumbe semina ya kugegedwa, akirudi si huwa ana vizawadi na wewe unakula, huoni kwamba ulishalishwa na jamaa? Baada ya hapo utapewa limbwata mapema ili aje apigwe ndani kwako ukiuliza unagombezwa kama shamba boy! Kwahiyo usiwaze kuhusu hiyo mimba wala si yako, pia Mtoto akizaliwa kama ni wako utajua baadaye. Huu ni ushauri tu ila maamuzi ni yako, tafakari kwa kina, ufanye maamuzi. Usiwaze sana ukagongwa na gari, ni mambo ya kawaida hayajaanza kwako, we bado mdogo using'ang'anie Nesi, omba Mungu akupatie mke mwema!

Well articulated....
 
Nes Nes Nes Nes......no no no no no no no..... Though huwa ni wazuri wa sura na umbo....lakini big no....
 
mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenz wang kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikuwa anagegedwa na alikuwa anapiga yowe hadi kero kwa majirani,
nilimuliza mpenz wang akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhan n ukweli jins alivyokuwa siriaz kujitetea na kulia kwa uchungu.
leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe nmeenda nikabana geto kwa mskaji huku nikisikilizia milio ya mahaba kutoka chumba jiran kwa kuwa nyumba haina silng body. gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani.. na mimi nikatoka nikasimama mlangon waliporudi alistuka then nikawasalimia then nikaondoka..
nmekuja mbio had nyumban natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. jamaa alieko nae simfaham ila nmemchek namweza kabisa. mpenz wang ana ujauzito wa miez 2 wa kwang. NISHAURINI TAFADHALI

Licha ya lugha ya kifacebook uliyotumia hii story haina chembe ya ukweli ! Kiuhalisia usingekuwa na nguvu ya kusimulia kwasasa
 
Kama ni mpenzi wako na sio mke wa ndoa la kufanya ni kuachana naye.
 
Mkuu Jipe moyo na usijaribu kupigana juu ya mwanamke hata siku mmoja.kama wazazi na wazee wa makamo Wapo,Jaribu kuwashirikisha na iwe ni baada ya hasira kutulia kabisa ndugu pole mno .
 
mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenz wang kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikuwa anagegedwa na alikuwa anapiga yowe hadi kero kwa majirani,
nilimuliza mpenz wang akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhan n ukweli jins alivyokuwa siriaz kujitetea na kulia kwa uchungu.
leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe nmeenda nikabana geto kwa mskaji huku nikisikilizia milio ya mahaba kutoka chumba jiran kwa kuwa nyumba haina silng body. gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani.. na mimi nikatoka nikasimama mlangon waliporudi alistuka then nikawasalimia then nikaondoka..
nmekuja mbio had nyumban natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. jamaa alieko nae simfaham ila nmemchek namweza kabisa. mpenz wang ana ujauzito wa miez 2 wa kwang. NISHAURINI TAFADHALI

Hongera sana!
 
tuliza moyo kabisa
huyo jamaa humjui ..hata kama unamuweza so what?
what if mpenzi wako alisema yuko single?

wewe tuliza moyo kwanza....kunywa maji jipe muda utajua cha kufanya.....kwa sasa ondoka hapo nyumbani nenda katafute time ya kufikiri utajua tu..... kupigana baaaada ya kumfumania mpenzi ni kujidhalilisha zaidi....

Kutuliza moyo ni kazi!! ni rahis kuongea kuliko kufanya...lkn ndo pekee cha kufanya
 
Mh pole sana,huyo dada atakuwa hakupendi tena na ni bora utafute sehem uende upumzishe akili kwanza
 
yeap bro! take ur time, calm down and see how it pans out. Never try anything silly coz u gonna end up regretting. You and I have seen worse than that buddy.
 
Back
Top Bottom