Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

kababaa1

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
597
399
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti.

Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhani ni ukweli jinsi alivyokuwa serious kujitetea na kulia kwa uchungu.

Leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe, nimeenda nikakaa nyumbani kwa jamaa huku nikisikilizia sauti zilizokuwa zinatoka chumba jirani kwa kuwa nyumba haina sing body.

Gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani, na mimi nikatoka nikasimama mlangoni waliporudi alistuka na sikufanya lolote.

Nimekuja mbio hadi nyumbani natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. Jamaa aliye nae simfahamu ila nimeona namweza kabisa. Mpenzi wangu ana ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.

NISHAURINI TAFADHALI
 
tuliza moyo kabisa
huyo jamaa humjui ..hata kama unamuweza so what?
what if mpenzi wako alisema yuko single?

wewe tuliza moyo kwanza....kunywa maji jipe muda utajua cha kufanya.....kwa sasa ondoka hapo nyumbani nenda katafute time ya kufikiri utajua tu..... kupigana baaaada ya kumfumania mpenzi ni kujidhalilisha zaidi....
 
He! hii ni hadithi au...? yani unamfumania thena unamsalimia kisha unakimbia nyumbani ili uipost JF....! Kweli wewe hamnazo....!

sasa wewe ulitegemea angefanyaje mkuu? maana that is the best decision kwa ku-mark presence yake then kuondoka ili wajue wameonwa.
kuhusu kuja Jf nadhani hii ni katika kutafuta njia muafaka ya kulikabili tatizo alilonalo. sioni kama kuna geni hapo au la ajabu hapo
 
He! hii ni hadithi au...? yani unamfumania thena unamsalimia kisha unakimbia nyumbani ili uipost JF....! Kweli wewe hamnazo....!
Mitandao imewashikia watu akili sijui anataka ushauri wa nini kama mkewe ana mimba basi jamaa alikuwa anaongezea miguu na vidole
 
mpenzi wangu ni nesi, ... mpenz wang ana ujauzito wa miez 2 wa kwang. NISHAURINI TAFADHALI

ujauzito miezi miwili unadai ni wako wakati hayuko kwako.....hata hivyo pole.

Lakini nikupe pongezi...Mimi na manesi ni mbali mbali tangu siku moja usiku miaka ya nyuma nilipokwenda hosp moja kubwa mji wa makao makuu ya bunge na ccm, nikakuta nesi na dr wamelazana kwenye meza...niliapa kutoshawishika kuoa nesi let alone kutongoza.
 
ulishabugi men....ulitakiwa pale pale unaingia nae ndani kwa jamaa alafu mnamgegeda kwa pamoja. yeye papuchi wewe tigo.
 
umefanya la busara sana kutozua lapsha baada ya kuwafuman4a. Nadhan mkeo kama ana akili psychologia yake itakuwa imevurugka nae anatafta cha kufanya.
usifanye maamuzi yoyote sasa hv maana unaongozwa na hasira. Nina hakika ukfanya maamuzi yoyote sasa hivi yatakuwa ni mabaya na hayatakuwa na faida kwako, kwa mke wako au kwa yeyote around. Msubiri mke wako uone atachkua hatua gan baada ya kugundua umemfumania alafu na wewe utajua unaanzia wapi sasa. Ukfanya uamuzi sasa unaweza nawe ukaja kuujutia maishani
 
Sasa pale pale ungemuuliza jamaa huyo ni nani wake ili ukipata jibu la jamaa kama ni mchumba umkabidhi rasmi pale pale ungetangaza waje wafuate nguo zake.

Ila katika maelezo umesema ni mpenzi wako, kwahiyo huna mamlaka yoyote juu ya huyo binti maana hata hatua ya uchumba bado, hana hata pete ya uchumba wako.

Pia tafakari uwezo wako wa kitandani inaonesha nesi haridhiki kabisa na wewe ndo maana anaenda kwa jamaa maana wewe ni kama kaka yake. Yaani kwa jamaa anapata raha zote hadi anaimba nyimba za mahaba na kuwa kero kwa majirani na akiwa kwako haumlizi hata mguno hakuna haojitambui bado?

Huyo nesi siyo saizi yako kabisa usipende kwa macho kaka angalia zana zako za kazi, tafuta saizi yako. Pia ni Mungu amekuonesha mapema kwamba huyo hafai kuwa mkeo, mwachie jamaa wala hiyo mimba si yako ukute wote wawili mliambiwa ana mimba na wote mnatunza mimba. Kama ulikuwa unaishi naye geto nakushauri mgawane vyombo kila mtu aanze upya.

Ukifanya ukorofi nakwambia utafanyiwa kitu mbaya na huyo dada na jamaa yake maana kama alikuwa anakudanganya anaenda semina kumbe semina ya kugegedwa, akirudi si huwa ana vizawadi na wewe unakula, huoni kwamba ulishalishwa na jamaa?

Baada ya hapo utapewa limbwata mapema ili aje apigwe ndani kwako ukiuliza unagombezwa kama shamba boy! Kwahiyo usiwaze kuhusu hiyo mimba wala si yako, pia Mtoto akizaliwa kama ni wako utajua baadaye.

Huu ni ushauri tu ila maamuzi ni yako, tafakari kwa kina, ufanye maamuzi. Usiwaze sana ukagongwa na gari, ni mambo ya kawaida hayajaanza kwako, we bado mdogo using'ang'anie Nesi, omba Mungu akupatie mke mwema!
 
mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenz wang kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikuwa anagegedwa na alikuwa anapiga yowe hadi kero kwa majirani,
nilimuliza mpenz wang akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhan n ukweli jins alivyokuwa siriaz kujitetea na kulia kwa uchungu.
leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe nmeenda nikabana geto kwa mskaji huku nikisikilizia milio ya mahaba kutoka chumba jiran kwa kuwa nyumba haina silng body. gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani.. na mimi nikatoka nikasimama mlangon waliporudi alistuka then nikawasalimia then nikaondoka..
nmekuja mbio had nyumban natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. jamaa alieko nae simfaham ila nmemchek namweza kabisa. mpenz wang ana ujauzito wa miez 2 wa kwang. NISHAURINI TAFADHALI

:cool2:...
 
Back
Top Bottom