Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote

Status
Not open for further replies.
Tatizo lako hommie unaibuka kuokoa jahazi wakati nduguyo nshaangamia! Hehehe! Sasa ntakuwa natinga kwa mkoloni na valeur kwa mfuko.
ha ha ha na wewe pia ulipotea! nilkujibu kule uliponiuliza wapi nilikua....
 
Usijali hata choo cha kike nacho ni choo.Hata wao sometimes husimama wakati wa kukojoa,labda ulikuwa unatoa haja ile nyingine ambayo kila mwanadamu kama anatumia choo cha shimo lazima achuchumae.Si kweli Bht?...Please keep my vote..Umejiandikisha lakini?
Hapo kwenye red nimecheka kidogo nizimie. Afu ukute ndo katoka kupiga kimpumu. Hiyo presha itakayotoka hapo,ardhi lazima ipate habari yake! Hehehe!

Hapo kwenye blue usitegemee kupata komenti ya mamushka! Kama ulikuwa unategemea jibu jua imekula kwako!
 
Jamani tushirikiane wote hicho kimpumu..Unanikumbusha mbali Mboziii wakati naenda kumsalimia babu yangu.
 
Kwa Kimaro au Ndesa pesa au Bazil Pesamingi Mramba
Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!

Samahani kama nimewakwaza!
 
Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!

Samahani kama nimewakwaza!

Mmh.Hapa Xpin tutakosana,unamtetea huyu jamaa kwa hilo tu?amefanya madhambi mangapi tean makubwa sana?
 
Chonde chonde msinigusie mungumtu wangu. Huyu kasaidia tunaenda kumtembelea bibi na vitz hata kama huna spea tairi! From Dar to Rombo with Love!
Samahani kama nimewakwaza!
ha ha ha tena hiyo Vitz imejaa 5 people na mm unanidondosha pale samanga kilimani!! Baelezee hommie!!
 
Mmh.Hapa Xpin tutakosana,unamtetea huyu jamaa kwa hilo tu?amefanya madhambi mangapi tean makubwa sana?
Kiongozi nilishaomba radhi kama nitakukwaza. Ngoja amalizie kale kabarabara kwanza afu ndo tumpige chini hiyo December. Si unajua mahela yale ya EPA?
 
genekai
user_online.gif

genekai The Moralist
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Feb 2010
Posts: 378
Thanks: 20
Thanked 123 Times in 96 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote
Karibu tena mama jamvi liko vilevile kama ulivyoliacha!

The Following User Says Thank You to genekai For This Useful Post: Gender Sensitive (Today)

Haya mambo ya kugongea senksi posti kama hizi ndio yanatufanya midume tuingie choo cha kike!
 
Tatizo umesahau kuwaambia SAMAHANI KAMA UMEWAKWAZA. Hommie tayari au?
Hommie si unaona time zenyewe zinaruhusu.....ila leo sijaribu ile kitu bana!! nimecheki hapa sioni visoda so ngoja niwe mpole waweza kutoa thanx chupa ya mjeda ikawa tabu!!
 
Hommie si unaona time zenyewe zinaruhusu.....ila leo sijaribu ile kitu bana!! nimecheki hapa sioni visoda so ngoja niwe mpole waweza kutoa thanx chupa ya mjeda ikawa tabu!!
Dah! Leo mkoloni kaniumiza.

Hii mida nikifikiria mafoleni, kiu inakatika ghafla!
 
genekai
user_online.gif

genekai The Moralist
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Feb 2010
Posts: 378
Thanks: 20
Thanked 123 Times in 96 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote
Karibu tena mama jamvi liko vilevile kama ulivyoliacha!

The Following User Says Thank You to genekai For This Useful Post: Gender Sensitive (Today)

Haya mambo ya kugongea senksi posti kama hizi ndio yanatufanya midume tuingie choo cha kike!

Ha ha ha.Kazi kwako kuchambua na kupata ukweli wa mambo..Habari ndio hivyo
 
warmly highly humbly welcome back......hivi nimepatia ki noname hapa au?
 
Kiongozi nilishaomba radhi kama nitakukwaza. Ngoja amalizie kale kabarabara kwanza afu ndo tumpige chini hiyo December. Si unajua mahela yale ya EPA?

Unafikri ni yeye ndioi anyejenga barabara?ni mpango wa serikali na wala sio nguvu yake...Hata akipigwa chini kama serikali ilipanga kufanya hivyo itafanya tu.Kwani Mramba kawa Mbunge jana,si anamiaka kibao tangu nasoma namsikia...Kama alikuwa na nguvu za kufanya hivyo basi angefanya wakati ule.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom