Nimelimiss sana hili Jukwaa la Mapenzi na Wadau Wake Wote

Status
Not open for further replies.
hahaaaa thats why GS missed you
Hahahah!
Huyu hakunimisi mimi nawee. Alimisi mapumbaz! Mjanja kweli, alichukua kande zangu akaniachia mapumba. Maskini hakujua umuhimu wa mapumba. Ile anajua umuhimu wake tayari imekuwa too late kwake. Nshawatupia kuku tayari. Hahahaha! Sasa ameyamisi si umeona?

Hapa sijui nimetema pointi au pumba. Hiki kichwa bila hangover huwa kinakuwa na ubongo wa kichina. Sijui nisepe?
 
karibu sana , we definetely missed you.
Nawewe bana dah! Siku nyingine desperately, siku nyingine definately....

Hivi ulinambia ulizaliwa Birmingham au wapi tena? (BTW leo ulikuwa gesti gani?)
 
Hahahah!
Huyu hakunimisi mimi nawee. Alimisi mapumbaz! Mjanja kweli, alichukua kande zangu akaniachia mapumba. Maskini hakujua umuhimu wa mapumba. Ile anajua umuhimu wake tayari imekuwa too late kwake. Nshawatupia kuku tayari. Hahahaha! Sasa ameyamisi si umeona?

Hapa sijui nimetema pointi au pumba. Hiki kichwa bila hangover huwa kinakuwa na ubongo wa kichina. Sijui nisepe?

vyointi vyooote mwanzo mwisho
 
Sio rahisi kama unavyodhani.lakin kwa kuwa wewe ni FL1 na unapaswa kuwa tayari kwa lolote,naamini kabisa utaweza..Jiandae afta Ista tunaweza kuwa wote..Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Haina shaka just count on me ..mguu na njia pamoja sana
 
Nilishangaa kwa kuwa ulilenga penyewe..Niliedna kisiasa.nilikuwa kwenye Operesheni Sangara ya CHADEMA kama umeshaisikia.Tulikuwa Mkoa wa Dodoma
dah poleni nasikia mzee mmoja aliwachenchia akawafukuza kwenye uwanja wake kuhofia sirikali inaweza kumtunishia msuli......!!!!
 
Hahahah!
Huyu hakunimisi mimi nawee. Alimisi mapumbaz! Mjanja kweli, alichukua kande zangu akaniachia mapumba. Maskini hakujua umuhimu wa mapumba. Ile anajua umuhimu wake tayari imekuwa too late kwake. Nshawatupia kuku tayari. Hahahaha! Sasa ameyamisi si umeona?

Hapa sijui nimetema pointi au pumba. Hiki kichwa bila hangover huwa kinakuwa na ubongo wa kichina. Sijui nisepe?

Xpin acha hizo..Mimi nimeshasema niliwamiss,it is true that i missed you..Ni kweli pia niulimiss na vingine vileee
 
Karibu sana bibie
Ahsante kwa kunifumbua macho.

ulienda kisiasa GS??
Swali la kwanza.

Ha ha ha.Kwanini umeuliza hivyo?
Kama kawaida watanzania ndivyo tulivyo. Swali juu ya swali ndo zetu

kutaka kujua tu dear na si vinginevyo
Ufafanuzi huu hapa. Mamushka kwa udaku. Haya ngoja tusubirie jibu.

Nilishangaa kwa kuwa ulilenga penyewe..Niliedna kisiasa.nilikuwa kwenye Operesheni Sangara ya CHADEMA kama umeshaisikia.Tulikuwa Mkoa wa Dodoma
Dah! Sikujua. Safi Sana. Wanawake lazima muonyeshe mnaweza. Utagombea jimbo gani ukamate kura yangu? Hii ni promise ujue!!
 
Ahsante kwa kunifumbua macho.

Swali la kwanza.

Kama kawaida watanzania ndivyo tulivyo. Swali juu ya swali ndo zetu

Ufafanuzi huu hapa. Mamushka kwa udaku. Haya ngoja tusubirie jibu.

Dah! Sikujua. Safi Sana. Wanawake lazima muonyeshe mnaweza. Utagombea jimbo gani ukamate kura yangu? Hii ni promise ujue!!
hahaaa biggy macho yatatoboka mwaka huu nakwambia, acha mi niwe mdaku lakini inanisaidia kujua mengi, nawe ungejuaje nisingeuliza?? kura yako ineeksipaya mfukoni, sema asante kwa mamushka
 
Haina shaka just count on me ..mguu na njia pamoja sana
Sipati picha. We si mwanachama wa kufa na kuzikana wa CCM? Hebu msome huyu unayetaka kuambatana naye alikuwa kwenye operesheni gani.

Nilishangaa kwa kuwa ulilenga penyewe..Niliedna kisiasa.nilikuwa kwenye Operesheni Sangara ya CHADEMA kama umeshaisikia.Tulikuwa Mkoa wa Dodoma
Hapa ujue umeshaufunga urafiki wako na FL1.

Xpin acha hizo..Mimi nimeshasema niliwamiss,it is true that i missed you..Ni kweli pia niulimiss na vingine vileee
Kama hapo umemanisha mimi, basi kama kawaida yangu, ntayaweka hayo moyoni mwangu. Halafu leo ntakunywa valeur mpaka nipoteze netiweki kwa afya yako. Usisahau una kura yangu.......
 
Ahsante kwa kunifumbua macho.

Swali la kwanza.

Kama kawaida watanzania ndivyo tulivyo. Swali juu ya swali ndo zetu

Ufafanuzi huu hapa. Mamushka kwa udaku. Haya ngoja tusubirie jibu.

Dah! Sikujua. Safi Sana. Wanawake lazima muonyeshe mnaweza. Utagombea jimbo gani ukamate kura yangu? Hii ni promise ujue!!

Mimi sio she Xpin.Si unajua mabo ya JF kuzugana sometimes?Jimbo ninalogombea nitalitaja siku nyingine..Unajua am hiding my identity sasa nikitaja jimbo tu tayari watu watafahamu mimi ni nani..Niyasema wakati muafaka ukifika.
 
unaogopa nini GS?
Anyway mie ntasubiri, ni hapa dar au mkoa??
 
Dah!

Kwa mara ya kwanza leo nimeingia choo cha kike afu nikajisahau kuchuchumaa!

Anyway, haijalishi; kura yangu haiwezi kwenda CCM.
 
Naogopa kwakuwa kulee kwenye jukwaa la siasa wakati mwingine huwa nawasema watu fulani sasa wakijua ni mimi itakula kwangu.Sio Dar ni nje ya Dar..
 
Tatizo la usober hilo hommie umeona eh! hebu kazimue kidogo tupate mapwoint!!
Tatizo lako hommie unaibuka kuokoa jahazi wakati nduguyo nshaangamia! Hehehe! Sasa ntakuwa natinga kwa mkoloni na valeur kwa mfuko.
 
Dah!

Kwa mara ya kwanza leo nimeingia choo cha kike afu nikajisahau kuchuchumaa!

Anyway, haijalishi; kura yangu haiwezi kwenda CCM.

Usijali hata choo cha kike nacho ni choo.Hata wao sometimes husimama wakati wa kukojoa,labda ulikuwa unatoa haja ile nyingine ambayo kila mwanadamu kama anatumia choo cha shimo lazima achuchumae.Si kweli Bht?...Please keep my vote..Umejiandikisha lakini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom