Nimekukubali dr slaa

Naunga mkono hoja na pia alisema endapo atashindwa basi kampeini itaanza upya Januari mwaka 2011 yaani mwaka huu kuzunguka mkoa kwa mkoa na kijiji kwa kijiji kuelimisha wananchi na sasa naona ameanza kutekeleza azima yake.Nimemkubali DR. wa ukweli maana yuko very strategic na kwa hili watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutaendelea kumwombea na kumtakia heri na afya njema.
 
Dr. hiyo engine nyingine kabisaa..slaa m1 ni sawa na ccm yote kwa pamoja... na kampeni za chama cha msimu just zimeanza mikoa mi-3 tuu tayari presha ipo juu kwa chama cha kudumu...je ikipita nchi nzima si ndio "chama cha kudumu" watakufa wote... DR NAMUAMINIA SANAAA
 
Wazeiya, huyo kalagabaho ni Rizwani mtoto wa jK. Sasa wewe Riziwan aka kalaga... sijui ni, unaonaje ukaanza kuandika point na si huo utoto wako kwa kuwa tushashtukia true ID yako. Ingawa dingi yako jK ni kilaza, hata yeye hata kufagilia kwa hizi point zako.
 
Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.
 
We senoiorgeek, acha hizo mate yasijanikwida
 
CCM huu ndo mwisho wao i raha saaana kuona mafisadi wanakosa usingizi namna hii SLaa tupo nyuma yako tuletee mapinduzi ya kweli hatuiitaji tena CCM katika maisha yetu.
 
Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.

Elimu kwako si Mali na haijakukomboa kabisaaaaa
 
Dr slaa ni Dr wa ukweli , huwezi hata siku moja kumfananisha na JK AU MREMA
 
Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.

Ngeleja kadozi.jpg

Kwa staili hii hata tukiwapa karne nzima kuna kitakachofanyika kweli?
 
Yani kweli watu wasubiri hasara ambayo imeshatangazwa hata na anayesimamia sheria ya nchi (Werema) kuwa lazima wailipe DOWANS? Sasa Achilia mbali kodi kubwa ya kwenye mafuta yanayofanya kila kitu kuwa ghali. Hivi inakuwaje nchi zinazotuzunguka mafuta yao bei ni chini angali yanapita hapa kwetu? MAAMUZI MAGUMU YANATAKIWA!
 
Nguvu za Dr. Slaa zinajulikana hata Mhe. Zitto analitambua hilo.
 
Back
Top Bottom