Nimekukubali dr slaa

Nakumbuka CCM hao ndio waliokuwa wanasherekea ameisha kisiasa, sasa wanaonja shubiri yake. Mwaka huu usanii utawaishia.

Peoples power
 
huyu jamaa ni hazina kwa Tifa sio kwa CHADEMA tu wala upinzani, tatizo la CCM na serikali yake hawataki kuwatumi watu kama hawa ili kuijenga tanzania bora.
 
Back
Top Bottom