Nimejifungua mtoto wa kiume

hivi kumbe na wanawake wa jf huwa mnakuwa wajawazito! Mbona mkija clinic hamjitambulishi? Malezi mema!

Umenichekesha ndugu, wanawake wa JF are like all other women all over the world, so kupata ujauzito ni normal.

Swala la kujitambulisha ndo ishu, labda utupe clue tukienda clinic tujitambulishaje?
 
bojo Koku waihyuka,otakutina kushubayo taliyo mahwa!
(tafsiri isiyo rasmi:hongera Koku,usiogope kuzaa tena)
 
bojo Koku waihyuka,otakutina kushubayo taliyo mahwa!
(tafsiri isiyo rasmi:hongera Koku,usiogope kuzaa tena)

Ahsante sana kaka Bishanga, kuzaa tena siogopi, Mungu akinijalia neema hiyo hata wengine wa 2 poa tu.

Karibu tulee.
 
Hongera Koku, pole na 9 moons trip.
Napendekeza muachie uncle DUBU au uncle ErickB52 wakipita hapa wapendekeze jina la uncle ketu kapya.

Ahsante sana J.

Mmhhhh, hao si ndo watanipa majina ya bedui, gaidi sijui au?
 
Back
Top Bottom