Nimejifungua mtoto wa kiume

Hongera sana na Mungu amjalie afya njema na afikishe miaka ya ahadi. Lakini usisahau kumpatia senene umri wa kula vyakula ukifika
 
hongera sana. naona shemeji zetu wapo makini sana. flora msoffe,kokutona na nai tena yule!?...safi sana. Mungu awabariki ninyi na watoto wenu. Ninyi ni mfano bora wa kuigwa na wote wanaokua na mawazo ya kipumbavu ya kutoa mimba.
 
Ahsante ndugu. Wamefanya kazi yao, ngoja tulee sasa.
 
Hongera Koku, pole na 9 moons trip.
Napendekeza muachie uncle DUBU au uncle ErickB52 wakipita hapa wapendekeze jina la uncle ketu kapya.
Hahahaaaaaa Judgement umeanza eeeh uwe muwazi tu.....
Sema unapendekeza aitwe Erick hope Kijana atakuwa wa kipekee...
Koku mwambie baba yake amwite Erick eeee ni jina zuri sana lenye baraka sana
 
Ahsante sana. Nimeambiwa wewe ni mtaalamu wa kutoa majina.
Teh sio mtaalamu ila JG alitumia lugha ya mzunguko coz alimaanisha mtoto anafaa kuitwa Erick kwa kuwa tumebarikiwa sana....
Wewe fanya research ya majina ya Erick uone kama yana kasoro yoyote then utaamua kutoa maamuzi
 
anaitwa nani huyu mwenzetu? mwambie karibu nyingi kutoka kwa anko mabagala, akaribie tupambane
 
Dada Koku nilisahau kukupa baraka.....
Mungu akuzidishie watoto zaidi na zaidi.....
 
Hahahaaaaaa Judgement umeanza eeeh uwe muwazi tu.....
Sema unapendekeza aitwe Erick hope Kijana atakuwa wa kipekee...
Koku mwambie baba yake amwite Erick eeee ni jina zuri sana lenye baraka sana

Mimi ndo baba yake na ndo mama yake, so jina li juu yangu

Ila Erick mmhhh!!! Naona km la kisuperstar sanaa. Naogopa mwanangu atakuwa bishololo.
 
Ninayo furaha kuwajulisha ili mfurahi nami. Nimepata mtoto wa KIUME, siku ya Jumamosi tar 10/03/2012 alasiri kwa operation.

It was the happiest moment in my life as God has given me the greatest gift in my life, the precious baby. he is my world, my love, my peace, my everything kwa kweli. Namwomba Mungu anisaidie niwe mama mwema, akaniongoze niweze kumtunza na kumlea kwa maadili.

Lets celebrate together for the NEW BABY BOY.
Hongera sana da KOKU.
Jee umeshapata jina?
Kama vp omba wana JF tukusaidie japo kwenye jina.
 
Mimi ndo baba yake na ndo mama yake, so jina li juu yangu

Ila Erick mmhhh!!! Naona km la kisuperstar sanaa. Naogopa mwanangu atakuwa bishololo.
Hahahahahaaaa aisee mbona hata jana niliona watu wanatusema kwa usharobaro? ila hatuko hivyo labda hatujijui eeeh
Yan hata mwanangu nikimpata nitamwita Erick Jr kwa msisitizo
 
Back
Top Bottom