Nimejifungua mtoto wa kiume

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Ninayo furaha kuwajulisha ili mfurahi nami. Nimepata mtoto wa KIUME, siku ya Jumamosi tar 10/03/2012 alasiri kwa operation.

It was the happiest moment in my life as God has given me the greatest gift in my life, the precious baby. he is my world, my love, my peace, my everything kwa kweli. Namwomba Mungu anisaidie niwe mama mwema, akaniongoze niweze kumtunza na kumlea kwa maadili.

Lets celebrate together for the NEW BABY BOY.
 
Hongera mpendwa!

Mungu akupe hekima na busara uweze kumlea vema mwanao! Awajalie pia afya njema!
 
Hongera kwa baba!! Naona unajisikia kama huyo mtoto ni wako peke yako!!!
Ninayo furaha kuwajulisha ili mfurahi nami. Nimepata mtoto wa KIUME, siku ya Jumamosi tar 10/03/2012 alasiri kwa operation.

It was the happiest moment in my life as God has given me the greatest gift in my life, the precious baby. he is my world, my love, my peace, my everything kwa kweli. Namwomba Mungu anisaidie niwe mama mwema, akaniongoze niweze kumtunza na kumlea kwa maadili.

Lets celebrate together for the NEW BABY BOY.
 
Mtaji huooo! Kuzaa sio kazi mama, kazi ni MALEZI,!!
Strategy 1.Usidekeze mtoto. Jitaidi anavyo kuwa umtengenezee mazingira ya kujua amekosea.
2. Be transiparance for him, that he can try to correlate with u in diffucult situation i.e. be opening for him.
3. Compare the nowdayz malezi ya watoto na effects zake, then take as a challages.
Nakutakia malezi mema.
Pendekezo langu: Muite jina lenye alaphabeti za mwanzoni...a,b,c d!!
 
Ameen. Hongera sana kwa kujifungua. nami nitakukumbuka sala zangu ili ahadi hii uliyoiweka kwa mtoto wako ya kuwa mama bora uweze kuitimiza. Nakutakia safari njema ya maisha kati yako wewe na mtoto wako ambayo mmeianza.
 
Hongera kwa baba!! Naona unajisikia kama huyo mtoto ni wako peke yako!!!

Memo, i wish ningekuwa nafurahia na baba yake. Alinitenda na kunisaliti nikiwa na miezi mi2, then we broke up,so miezi 7 yote nimelea mwenyewe, sikukunwa tumbo, wala hata kubembelezwa, i was all alone. So he is mine, me alone.

Though siwezi kuacha kumshukuru kwa kunipa kidume cha nguvu. Popote ulipo F. Thanks for your ..... as am the mother of a baby boy. Mungu anisaindie tu niweze kumlea as a will be a single parent.
 
Mtaji huooo! Kuzaa sio kazi mama, kazi ni MALEZI,!!
Strategy 1.Usidekeze mtoto. Jitaidi anavyo kuwa umtengenezee mazingira ya kujua amekosea.
2. Be transiparance for him, that he can try to correlate with u in diffucult situation i.e. be opening for him.
3. Compare the nowdayz malezi ya watoto na effects zake, then take as a challages.
Nakutakia malezi mema.
Pendekezo langu: Muite jina lenye alaphabeti za mwanzoni...a,b,c d!!

Ahsante sana B.kwa good advices ambazo nitazifanyia kazi by all the means.
E je siwezi chagua jina lenye herufi e?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom