Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Komredi yule mke wa mtu bado anakufatilia tu?
Mpwa yule bado kaniganda lakini namkwepa kweli jana alitaka anipe ofa maeneo ya Kimara pale ikabidi nimwambie nipo Mbezi lakini haeleweki kabisa.
Komredi yule mke wa mtu bado anakufatilia tu?
Unaposhikwa shikamana na mpende akupendaye mkuu........onyesha upendo japo kidogo jamani, mbona unakuwa mkatili kiasi hiki?Mpwa yule bado kaniganda lakini namkwepa kweli jana alitaka anipe ofa maeneo ya Kimara pale ikabidi nimwambie nipo Mbezi lakini haeleweki kabisa.
Zamani, enzi za ujana wangu, nilikuwa nikijikuta na ngoma ndani ya kumi na nane, maneno yananitoka tu, nilikuwa nabwabwaja kaa nimefungwa mota mdomoni au nimemeza mabetrii, na wengi walikuwa hawachomoi, kwa maneno yangu matamu lazima alainike na ghetto angekuja kunipa ninachotaka...........
Siku hizi, mhhhhhhh, domo lazidi kuwa zito kadri umri unavyosonga, vitoto vizuri navitamani, navyo nahisi vinanizimia- lakini najishtukia sijui ni kwa kuwa nshaoa au najihisi mzee? Kila nikiitunga sentensi kichwani naona haijatulia, kigugumizi kinanipata, muda unayoyoma hadi ngoma inasema goobye! Pale ninapojipinda na kuongea, naongea wrong words na naambulia kibuti!
Nimesahua kuimbisha, nyimbo sina wakulu, zote zimeniishia. And was wondering what was the best lines you guys are using nowadays...? Lets say you are out clubbing au uko pub afu umekiona kitoto kizuri and you make a move, what do you say? I know kwa wengi tulioishiwa nyimbo, mwisho wa maongezi ni baada ya introduction, sasa hapo ndo unapoweza kujikuta unaleta story za mvua na mahindi au kama unatokea Pemba unajikuta unaishia kwenye lines za 'mapera wala weye?' Have tried some few english ones but they haven't worked ie 'I think you are a fire hazard babe..' unaatract attention yake, akiuliza 'why?',unammaliza..'You look soooo hot!', au 'Sorry am new to this place and I think am lost', 'where do you want to go?' baaaang 'to your place...',etc.
You can come up with more ili wengi tufaidike na tatizo hili la udomo zege.
Nice weekend to you all.
Kana
Matatizo yanakukimbia badala ya kushukuru unayavalia raba na kuyatunishia misuli ili uyakimbilie vizuri...
Kama mzee ulishaoa, unatamani totoz wa nini? Tulia nyumbani na huyo wako. Kwanza wewe mwenyewe unasema unajishtukia kwamba ulishazeeka, basi nakuomba ushukru hicho kigigumizi kwani kwa sasa hao watoto sio kabisa. Utaacha familia pabaya.
...penyeza rupia kuondoa udhia!...
Nadhani hii figure inahitaji ufafanuzi.70000/week
sasa jamani mambo mengine,Mungu anakunusuru na mambo mengi bado unarisk,wewe si umesema umeoa sasa hayo mapoozeo ya nini ???
infidelity, adultery, extramarital affairs, unfaithfulness or disloyalty.
You should seek medical attention asap kama unadhani kujifungia mahali patulivu na katoto kabichi, kazuriiiii kenye kujua kutumia maungo yake kaliyojaaliwa na muumba ipasavyo ni MATATIZO!!!!!
kama unataka wa kumega na kuishia pochi lako tu
na uwezo wako wa kufika dau. tena basi wapo warembo
wataojirengesha tuu mradi wamenusa unaweza wakatia pochi.
ila kama unataka mrembo wa "kudumu" basi itategemea
unamwona maeneo gani na katika mazingira gani kwani
nyimbo nazo hubadilika kutokana na mazingira.
hata hivyo mkakati ninaokushauri ni kutokujiuliza mara mbili
pale jicho lako litakapomuona binti uliyemzimia wewe mtokee
hapo hapo na akili itapata maneno ya nyimbo itakayofaa mara
umfikiapo. angalizo, usimsemeshe ukiwa nyuma yake au kwa mbele
bali pembeni yaani kushoto au kulia .-)
Mbona nawajua masela wangu wengi tu hapo Bongo, wanasukuma mashine kali na hawana kitu? Ndo kwanza wao wanatunzwa!
Lol! Inaonyesha una boooooonge la experience! Aminia mkuu!