Chris Brown kuachia albam ya 11 tarehe 11 mwezi wa 11 na itakuwa na Nyimbo 11

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1692257029298.png
Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57.

Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi, ameamua kupunguza idadi ili mashabiki wawe na hamu naye na kuanza kuchukulia kazi zake kwa uzito.

Chris anafanya poa na ngoma ya 'Summer Too Hot' iliyotoka Juni 23, 2023 kama 'Lead Single', na tayari ameonesha vipande vya Video yake ambayo itatoka Ijumaa Agosti 18, 2023.

=============

Chris Brown has revealed details about his upcoming 11th studio album.

The R&B mainstay went to Instagram to share that his next album is titled 11:11 and is tentatively set to release on Nov. 11.

He also shared that the album will contain 11 songs, a direct response to some fans who have critiqued the length of his recent albums, including Heartbreak on a Full Moon, Indigo, and Breezy. For instance, the deluxe edition of Heartbreak contains 57 tracks and runs for 3 hours and 15 minutes, which is a few minutes longer than a feature film like Marvel’s Avengers: Endgame.

While there are hardcore Breezy fans who prefer more songs, Brown has his intention set for a more abbreviated project.

“I see Some of my die hard fans wanting me to add more songs for the new project and I love y’all for that. But, I just feel I need you all to really miss me and take my art seriously. IM JUST focused on giving y’all the best to digest. 11:11 make a wish,” he wrote in the caption for his Instagram post announcing his new album.

Team Breezy shouldn’t be too shocked by Brown’s decision to cut the number of tracks on his next album.

In May, he shared in a since-deleted Instagram post, “Y’all ready for some new music? Been locked in the studio. Ultra instinct activated. I’ll let y’all know the album title soon. NO MORE 20 to 40 song albums. JUST THE RIGHT AMOUNT OF MAGIC TO DIGEST.”

11:11 will include the lead single “Summer Too Hot.” The official video is set to premiere this Friday, Aug. 18.

RATED R&B
 
Ila hii dunia hii, kweli maisha hayako fair kabisa na hata hayana hata kidogo dalili ya kuwa hivyo☹☹☹☹ Unaweza kukuta huyu akauza kinoma hiyo album si kwa sababu nyingine bali hiyo tu ya uwepo wa hizo 11 nyingiiii😬😬😬😬
 
Wimbo wa mmoja wa kwenye album umetoka jana " summer too hot" bonge la ngoma, dances za kutosha.
 
Ep haina nyimbo 11..Ep inatakiwa zisizidi nyimbo 5
Ep haitakiwi izidi nyimbo 6

Na hata Album inaanzia nyimbo 7

Sasa mimi najadili running time.

Ep unapoisikiliza haitakiwi kuzidi dakika 30

Wakati running time ya Albamu ni dakika 35 hadi 60
 
Usher alitoa album inaitwa 8701
Maana yake ni kuwa ita/ilizinduliwa tarehe 8 mwezi wa 7 mwaka 2001...
Nice try Chris
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom