Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Zamani, enzi za ujana wangu, nilikuwa nikijikuta na ngoma ndani ya kumi na nane, maneno yananitoka tu, nilikuwa nabwabwaja kaa nimefungwa mota mdomoni au nimemeza mabetrii, na wengi walikuwa hawachomoi, kwa maneno yangu matamu lazima alainike na ghetto angekuja kunipa ninachotaka...........
Siku hizi, mhhhhhhh, domo lazidi kuwa zito kadri umri unavyosonga, vitoto vizuri navitamani, navyo nahisi vinanizimia- lakini najishtukia sijui ni kwa kuwa nshaoa au najihisi mzee? Kila nikiitunga sentensi kichwani naona haijatulia, kigugumizi kinanipata, muda unayoyoma hadi ngoma inasema goobye! Pale ninapojipinda na kuongea, naongea wrong words na naambulia kibuti!
Nimesahua kuimbisha, nyimbo sina wakulu, zote zimeniishia. And was wondering what was the best lines you guys are using nowadays...? Lets say you are out clubbing au uko pub afu umekiona kitoto kizuri and you make a move, what do you say? I know kwa wengi tulioishiwa nyimbo, mwisho wa maongezi ni baada ya introduction, sasa hapo ndo unapoweza kujikuta unaleta story za mvua na mahindi au kama unatokea Pemba unajikuta unaishia kwenye lines za 'mapera wala weye?' Have tried some few english ones but they haven't worked ie 'I think you are a fire hazard babe..' unaatract attention yake, akiuliza 'why?',unammaliza..'You look soooo hot!', au 'Sorry am new to this place and I think am lost', 'where do you want to go?' baaaang 'to your place...',etc.
You can come up with more ili wengi tufaidike na tatizo hili la udomo zege.
Nice weekend to you all.
Kana