Nimeipenda hii coz ujumbe umefika!

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Hii iko huku kwetu, bora ujumbe unafika kwa walengwa, siku zinasogea! weekend njema wakuu.
 

Attachments

  • 028.JPG
    028.JPG
    294.5 KB · Views: 501
Mdau, ingekuwa raha zaidi ukabandika picha badala ya thumbnail, namna hii:


attachment.php

Du,ndo mambo ya kilimo kwanza icho....ivi kweli mkulima ataweza kusoma kweli apo?????
Jamani ivi apo anamaanisha ivi...
MAGANGA AGROVET & GENERAL SUPPLY
TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO
  • UREA SH. 28,500
  • DRP SH. 47,000
  • MBEGU KILO 10 SH. 13,000
Au na mi tena sijaona vizuri??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom