Ujumbe Magumashi kutoka Vodacom

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
vodacom, ujumbe wenu huu una maana gani kwetu?

"Dear customer, we are experiencing degradation of internet services due to international undersea cable cuts earlier today, affecting online browsing for some our customers. We are working closely with the cable companies technical teams to restore services expeditiously. Apologies for any inconveniences caused."

Kwamba ninyi mnatuchaji sisi kwa kigezo cha MB au siku za matumizi kutegemea tu kipi kitanasa kabla. Kumbe basi apologies zenu au ujumbe huu basi una maana gani kwetu kama si ujumbe magumashi?

Kwani bando zetu zitakazo expire bure kwa kutotumika vilivyo kutokana tu na muda wake kwisha kwenye kadhia kama hiyo itakuwa imewaathiri ninyi wapi?

"Makampuni makubwa lakini kujinufaisha kutokea migongoni kwa watu wakiwamo hohehahe hata wa loliondo umaskinini huko, hivi huwa hakuwafikirishi?"

Ama kweli kwa tajiri kuingia mbinguni, ni heri ya ngamia na tundu la sindano.
 
Mkomgo umerejeaaaa kama kawaida
 
Back
Top Bottom