sijui umeinstall windows ipi kwenye partition ipi, so nitakupa jinsi ya kufanya ufiche OS moja. nenda command prompt (windows> type CMD) alafu uandike bcdedit /timeout 0 upige enter. kishney. kuna namna nyingi tofauti so ikiizingua hiyo sema nikuambie nyingine, nimekupa easiest
leh Jamaa inaonekana amesolve shida yake kwa njia yako mkuu lakini mie sijaelewa vizuri saidia zaidi kwa maelezo!nenda hivi
my computer>properties>Advanced system settings>Advanced>Settings>Startup and Recovery
hapo utaona system startup, utoe tick palipoandikwa *time to display list of operating systems*