Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,143
- 2,999
Natumai sote ni wazima,na ambao afya imeteteleka Mungu awape wepesi mpone.
Kwa wataalamu na wenye uzoefu ,naombeni msaada wa kubadiri lugha kwenye laptop.
Nina laptop ambayo ilikua inatumika sweden,na inatumia kiswedish,nataka kubadiri lugha itumie kinglish ila nakwama.
Nmejaribu kutumia setting,nikaenda kwenye change language lakini hainipi option ya OKEY,baada ya ku add language.
Nmejaribu kutumia ile ya shortcut key yani window key na space key,pale chini inachange neno swedesh kwenda english lakin nikingia kwemye option za window lugha inabakia ile ile.
Kuna muda nmewaza kupiga window lakini nikahofu inaweza kuwa yale yale na pia sitaki kupoteza baadhi ya programu mana upatikanaji wake ni mgumu.
NB,pc ni acer
Window ni window 10 .
Msaada tafadhali