Nimeibiwa simu yangu, nimeripoti polisi ila ni wiki ya pili sasa sijapata majibu

Nimeenda polisi na nimepewa mpelelezi hii ni wiki ya pili sijapewa mrejesho nawakati kila kitu NIMEWAPA
Naombeni msaada je hizo ofisi zinazohusika na utafutaji wa simu zikowapi nitimbe mwenyewe huko naitaka simu yangu
Afande muliro amewaita mkatambue na kuchukua simu,tv na computet kila aliyeibia!
 

Attachments

  • Screenshot_20231220_055602_Chrome.jpg
    Screenshot_20231220_055602_Chrome.jpg
    102.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom