nimeibiwa mume!

..habari za kitelejensia zinasema mumeo@Charminglady yuko kwa Kongosho...
halafu CUTE nina habari zako za kutaka kuniteka mateka..week end hii...
 
Last edited by a moderator:
Mama mkwe wewe si wa kusema mambo hayo

uuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
jamani nimeshusha pumzi nilikuwa njiani kuelekea star tv na rfa kukutafuta laadhidhi ulikuwa wapi hebu niambie platozoom my hezbend........ karibu nyumbani!
 
Last edited by a moderator:
uuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
jamani nimeshusha pumzi nilikuwa njiani kuelekea star tv na rfa kukutafuta laadhidhi ulikuwa wapi hebu niambie platozoom my hezbend........ karibu nyumbani!

Usijali my honey.....nimetumia mbinu kama ile sredi uliyowaanzishia mabinti single..Mimi nimeigeuza kwa mabraza single...Nikajificha kidogo nione mapigo yako ya moyo ...kumbe wanipenda hivi.

Nimekuanzishia na sredi kabisa..I LOVE YOU SO MUCH
 
hahah ngoja nikaicheck
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
jamani nimeshusha pumzi nilikuwa njiani kuelekea star tv na rfa kukutafuta laadhidhi ulikuwa wapi hebu niambie platozoom my hezbend........ karibu nyumbani!

Kabla hujajipongeza kwanza mkague! Hivi ushawahi kuiskia ile issue ya jamaa aliyekua amezamia guest jirani akim'do demu wa mtu, na mwenye demu akatonywa kua demu wake kaingizwa guest, akaenda fumania jamaa alipokurupushwa alikimbia bila kujijua mpira wa matumizi (lifeguard) hajauvua.

Kwake hapakua mbali na guest, alipofika kwake akaingia akihema na kumdanganya mkewe kua amevamiwa na vibaka ndy wamemvua na nguo!

Ghafla mkewe akaiona ndom na kumwambia "khee yaani vibaka ndo wamekuvalisha na hii ?"
mkague na huyo ujiridhishe.
 
Story zooote hizo unafikiri utaniharibia?
 
jf naipenda sana na mume nampenda cjui nifanyeje. n-way ngoja nifanye anaanaanado itakapoangukia ndo ntabaki nayo. . .

Sasa we endelea kufanya iyo anaanadoo yako uku wasaka waume wakute mumeo anazagaa tu mtaani utalia shoga
 
Judgement yan km umenitoa tongotongo. . . nimemkagua kuanzia juu mpk chin thn cm niloyakuta cr yangu. nimemuacha rasmi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom