nimeibiwa mume!

unabania M.B.U.N.Y.e ako unafikiri inaisha kama REXONA!...kapata anaempa VYOTE!

tafuta kidume kilichoibiwa mke ujiweke kwa muda!
 
dah kumbe we mrahc kuibiwa eeh,naomba kukuiba ths w-end kama platozoom hatakuwa amerud!
Heheheeee unanitega eeeh
Mbona kifua kiko wazi...unanitega eeeh?
Mbona miguu yako ya bia...unanitega eeeh?
Mbona unanigusa nanii yangu...unanitega eeh?
Mbona unanigusisha nanii zako....unanitega eeeh?
 
Kumbe Jirani huna uvumilivu?
Wiki mbili tu! Umemfungulia Sredi?
Mie nna wiki 3 simjui mke alipo, sijui anakula wp! Analala wapi!

haa, nikuibie siri jiran. hebu sogea nkuume ckio. . . una habar M'Jr alikuja mwanza kimya kimya huenda ndo yupo nae! ila ucje kuntaja kama me ndo nimekwambia. . .
 
Last edited by a moderator:
unabania M.B.U.N.Y.e ako unafikiri inaisha kama REXONA!...kapata anaempa VYOTE!

tafuta kidume kilichoibiwa mke ujiweke kwa muda!
Mh
Kweli we ndio BAGAH tena ya herufi kubwa utadhai unajifunza mwandiko
 
Last edited by a moderator:
charminglady tulia. anakuja soon nimesha mruhusu. mie aliniambia ana mchumba

anamchunguza tabia ila bado hajaoa. huyu sio bure naona watakuwa marafiki

na Erickb52 sabb nae alikuja na uwongo kama huu. pole mamito.
Uzuri wangu nina uongo ila ukinipata huniachii coz nakupa utakacho...sio pesa wala magari bali nakupeleka dubai saaaafi
So Erotica usijali kwa lolote
 
Last edited by a moderator:
charminglady tulia. anakuja soon nimesha mruhusu. mie aliniambia ana mchumba

anamchunguza tabia ila bado hajaoa. huyu sio bure naona watakuwa marafiki

na Erickb52 sabb nae alikuja na uwongo kama huu. pole mamito.

jaman asante kwa kumruhusu yan nimekonda kwa wk 2. pia nakushukuru hope utakuwa umempa maujuzi!
 
Tafuta mnyonge wako na ww umuibie mama, ndo mjini tena hivyo!
Ila kwa PAW usithubutu kukutwa, nitakufurumua hata ardhi uliyoikanyaga NASA hawataiona!

ngoja niangaze angaze humu huenda nkapata m1 nimuibe!
 
Heheheeee unanitega eeeh
Mbona kifua kiko wazi...unanitega eeeh?
Mbona miguu yako ya bia...unanitega eeeh?
Mbona unanigusa nanii yangu...unanitega eeh?
Mbona unanigusisha nanii zako....unanitega eeeh?
hujakoma na Amyner!? simooo safari hii utatembelea viwiko!
 
Last edited by a moderator:
unabania M.B.U.N.Y.e ako unafikiri inaisha kama REXONA!...kapata anaempa VYOTE!

tafuta kidume kilichoibiwa mke ujiweke kwa muda!

sasa BAGAH smtym unakuta nimechoka hadi ikulu.nikimwambia anasema sawa mamaa kumbe mwenzangu alikuwa ananihesabia cku. ama kweli nimepatikana. . . ctabana tena! platozoom rudi my hezbend naahid mbele ya wana chit chat ctakunyima asilani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom