nimeibiwa mume!

Mambo dole!
Moango upi, ule wa kunirudishia zawadi yangu ya mwanajf mwenye nidhamu kuliko wote uliyoniibia?
Hahahahaaaa King'asti ile sikupi coz mi ndio mwenye nidhamu kuliko wewe
Yan nimezidi kutulia ili akitokea nyingine nisiwe na mpinzani hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Wewe nilikuiba au nilikuwa najaribu kukutapeli tu, nikagundua ulikuwa umefuriaaaaaaaaaa



halafu nilikuibaje wakati ulikuja mwenyewe kwa miguu yako???



Hivi umeshajaribu kucheck na BADILI TABIA ?
Huyo ndio hasaaaa mwizi maarufu wa waume za watu coz hata mimi alishawahi kuniiba
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha una helaaaa?
Naiba wenye hela tu.....
Ila kwa b52 niliingia choo cha kiume, hela zenyewe zilikuwa za amyner loh......


52 yaani wewe umekua mtu kama wa 10 nakuskia ukimuongelea BT Kiivo!
Sijui namie kuna siku ataniiba ?
Ngoja nisubiriesubirie nione kama atajaribu!
 
Back
Top Bottom