Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 528
nimetoka kidogo nje, meacha laptop yangu ikiwa on, tena nkiwa jf, kuna kabint kako hapa home nlikaacha kanchek tv, nimeingia hapa ghafla nimekakuta na kenyewe kanaperuz humu, hii imenifanya nihc kuwa kuna wengi wetu humu wanaopostiwa vitu na watu wengine bila wao kujua lol.......ndio maana na vitoto vya form 4 tunakutana navyo humu....