Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
Sasa naaanza kukuelewa labda, hiyo sentensi imenifanya nipate mtazamo wako.
Inawezekana niko sahihi au si sahihi.
Red, Inawezekana kulingana na uzoefu wa kuweza kulelewa na baba imekujengea picha ya kuwa baba anaweza kuwa na 'authority' zaidi kwa watoto na hivyo malezi yake kuwa marahisi zaidi, je ndivyo ilivyo kwa kila single father au mlikuwa na bahati kuwa na baba mwenye msimamo?
Blue, Na pia inategemea mama ulikuwa unamchukuliaje kwa staili ya malezi aliyokuwa anatoa, ndio maana huna uhakika kama ungewezea fikia hapo ulipo leo.
Lakini green, ndio jibu la sred labda, una set picha gani kwa watoto ili waweze kukuelewa na kufanikiwa katika kile unachotaka wafanikiwe.

Comment yako iko makini sana. Nadhani hapa kuna fundisho kwa single mothers na single mothers to be.
Naona mama yako alitambua challenge ya kulea watoto peke yake, na akaamua kuwa inabidi a play double role; ya umama na ubaba. Alikuwa anaweza toa amri mkafuata ...labda alikuwa mkali au alikuwa na watoto wasikivu...wanasema ana bahati.
Mimi mwenyewe wazazi walitngana lakini nilikuwa mkubwa kidogo; form one, na nilikuwa last but one; hivyo nilikuwa na wakubwa zangu kibao wanaojitegemea except mimi na mdogo wangu.
Ila hatukueda kuishi kwa mama...tulilelewa na baba; na mpaka leo anajisifu kwa kuweza kutulea vema akiwa peke yake. Hakuwa mkali na hajawahi hata kunipiga kofi ila ana speak with authority...na alikuwa hachoki kutukanya kuhusu maisha yetu mpaka ikawa wimbo. Na kwa kuwa tulikuwa tunampenda sana...he was the last person we wanted to dissapoint.
Sikuwahi feel stigmatized. Wala sijawahi kuwazia. Labda kwa kuwa nilikuwa naishi na baba si mama.
Ila cha hajabu mama toka aachane na baba alianza kuwa mpole hajabu. Alikuwaga mkali sana alipokuwa home. Nadhani tungekaa nae tusingekuwa hapa tulipo; maybe yes maybe not.