Single mother aliezaa ndoani ni tofauti kabisa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu Wakuu,

Kuna sehemu nimeona kuna mdada anamwambia mwenzake kuwa,

Nanukuu"Hata usipozaa kabla ya ndoa unaweza ukaolewa, ukazaa halafu mwisho wa siku ukaachwa na ukawa single mother kama mimi" mwisho wa kunukuu.

Nahisi yule Dada alikuwa anamshawishi mwenzake azalie nyumbani kama yeye (UJINGA).

Dada zangu ni kweli unaweza kuwa single Mother hata kama utajitunza especially ukikutana na Mwanaume mwenye matatizo, lakini hauwezi kuwa sawa na single mother waliozalia nyumbani hata siku moja (NEVER).

Faida za kuzalia kwenye ndoa ni hizi zifuatazo,
1) Unakuwa na heshima binafsi.
-Watu watakupa heshima, na hata mume wako atakuheshimu tofauti na hao waliozalia nje. Ukiachika utakuwa na haki za Ndoa na utainjoi tofauti na hao wengine.

2) Unawapa heshima wazazi/Walezi wako.
-Wazazi wako watajiona wamelea vizuri Mtoto wao hata kama ndoa ikivunjika, maana umeleta mjukuu ndani ya ndoa tofauti na ungezalia nje.

3) Wazazi wako hawatokuwa wagumu kuishi nawewe nyumbani
-Wazazi hawatokukimbiza kwasababu hauna kosa especially kama Mwanaume ndio mkosefu, tofauti hao single mother wengine ambao wamewapa aibu wazazi wao. Kuna single mother waliozalia nje wametolewa nduki kwao na wameambiwa abadani wasirudi.

NB. WANAUME TUNAOA WANAWAKE TUNAOWAPENDA TU, KWAHYO NAFASI YA KUDUMU BILA YA TALAKA NI KUBWA UKIZALIA NDANI YA NDOA.
 
usingle mother ni suala mtambuka, haliwezi kuisha, fanya mambo mengine
Mkuu jaribu kutuliza kichwa basi.

Ukisoma uzi wangu utaona kuwa nawaambia Dada zangu faida za kuzalia kwenye Ndoa hata kama ndoa itavunjika na wakawa masingle mothers.

Hujaliona hilo Mkuu, au hutaki tuwaambie Dada zetu faida lukuki za kuzalia ndani ya Ndoa Takatifu?
 
Mkuu jaribu kutuliza kichwa basi.

Ukisoma uzi wangu utaona kuwa nawaambia Dada zangu faida za kuzalia kwenye Ndoa hata kama ndoa itavunjika na wakawa masingle mothers.

Hujaliona hilo Mkuu, au hutaki tuwaambie Dada zetu faida lukuki za kuzalia ndani ya Ndoa Takatifu?
Hakuna mtoto humu, mambo ya jumla kama haya wanajua.

Ila sasa maisha, hayana formula
 
When brothas make babies
And leave a young mother to be a puppy.

And since we all came from a women
Got our name from a women and our game from a women.

I wonder why we take from our women?

Keep ya head up - tupac Shakur
 
Awe single maza wa ndani ya ndoa, nje ya ndoa , wa barabarani , clab , sijui wa wapi single maza atabaki kuwa single maza tuu na hawana akili hawa. Vijana msije mkadanganywa na asali ya luchuluchu zao. Shauri yenu
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Awe single maza wa ndani ya ndoa, nje ya ndoa , wa barabarani , clab , sijui wa wapi single maza atabaki kuwa single maza tuu na hawana akili hawa. Vijana msije mkadanganywa na asali ya luchuluchu zao. Shauri yenu
Hahaha!

Mkuu kwani unadhani lengo la kuanzisha huu uzi ni kusema kuwa Single Mother wanafaa kuolewa? HAPANA.

Kuna wanawake wanawajaza wenzao ujinga wa kuzalia nyumbani kwa kuwaambia kuwa hata wakiolewa wanaweza kuachwa na kuwa Single Mothers.

Huu uzi unawapinga hao wanaowashawishi wenzao kuingia mtego wa kuzaa nje ya ndoa. Faida za Single mother wa ndoa ni nyingi tofauti na huyo aliezalia nje.

Kwenye uzi wangu nimeainisha faida za Single mother waliozaa ndani ya Ndoa na kuachika.

MKUU KAMA HUJANIELEWA, NAOMBA PITIA TENA HUU UZI.
 
Back
Top Bottom