Nimegundua wasanii wengi ni watoto wa single mothers; kama ni kweli why?

Akina Diamond, Q Chief, marehemu Kanumba and company wamelelewa na mama pekee. Na hata wakiongelea mafanikio yao wana wapa credit mama zao..... Je kuna uhusiano wa kulelewa na mama na kuwa msanii?

mmmmhh, sijaelewa.
Ntarudi
 
hakuna anaechagua wazazi wake,hivyo basi hakuna anaejua kuwa atakuja lelewa na single parent especially mama peke yake,having said that, hakuna uhusiano wowote wa kulelewa na single parent na kuwa msanii.
 
Mkuu Azote soma vizuri heading, hajasema single parent, kasema single mothers
 
Last edited by a moderator:
Maelezo ulotoa kabla ya jibu (sijuhi hakuna kuchagua bla bla bla) yamefanya nione jibu lako ni subjective.

Wewe umechukulia kuwa usanii ni failure in life..lakini mimi siko huko kwani kuna wasanii ni mamilionea.

Angalia usanii katika positive side afu jaribu kujibu tena.

hakuna anaechagua wazazi wake,hivyo basi hakuna anaejua kuwa atakuja lelewa na single parent especially mama peke yake,having said that, hakuna uhusiano wowote wa kulelewa na single parent na kuwa msanii.
 
Akina Diamond, Q Chief, marehemu Kanumba and company wamelelewa na mama pekee. Na hata wakiongelea mafanikio yao wana wapa credit mama zao..... Je kuna uhusiano wa kulelewa na mama na kuwa msanii?

If that's what you mean then you gotta revisit your heading and probably change it
 
Maelezo ulotoa kabla ya jibu (sijuhi hakuna kuchagua bla bla bla) yamefanya nione jibu lako ni subjective.

Wewe umechukulia kuwa usanii ni failure in life..lakini mimi siko huko kwani kuna wasanii ni mamilionea.

Angalia usanii katika positive side afu jaribu kujibu tena.

hakuna uhusiano wa kulelewa na mama pekee na kuwa msanii, Period
 
Umewaheshimu sana
kwa ufupi ungesema wasanii wenigi ni 'watoto waliozaliwa nje ya ndoa'
au watoto wasio na baba...

kuna kitu hapa hutaki kuzungumza lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom