Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Ukwelinasema

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
364
380
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Nimefanya kazi na mume wangu pia, anafanya kazi serikalini, kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.

Tukiwa tunatoka asubuhi tunatoka wote mimi na mume wangu ananiacha kazini kwangu yeye anaenda kazini kwake na jioni anapitia tunarudi nyumbani, hayo ndiyo maisha yetu ya kila siku, basi maisha yetu ya furaha na amani ndani ya nyumba yetu.

Basi wala hakuna maugomvi. Juzi jioni nimetoka kazini nimekaa na mdada wa kazi alikuwa busy na kuchati, basi nikasema ngoja nimtume kwa kumshtukiza.

Nikafanya hivyo halafu yeye akanyanyuka kwa kuogopa nikamwambia hebu nenda dukani mara moja akataka kuondoka na simu nikamwambia 'hebu acha simu hapo kimbia', hakubisha akaacha, nikachukua simu yake nikaanza kusoma sms kumbe bwana anachati na mume wangu mambo ya mapenzi.

Jamani nyinyi acheni tu kumbe mume wangu anavyonishusha mimi kazini kwangu anaenda kazini kwake anaweka saini anarudi nyumbani, nyinyi ajue Mungu jinsi mume wangu anavyonijali sijawahi kuamini kama anaweza nifanyia haya, basi bwana mimi nikaiweka simu yake, nikaendelea kuangalia TV.

Kama sina ninalojua akarudi akaleta nilichomtuma akaingia ndani mimi nikainuka nikaandaa meza nikamuita mume wangu na dada wa kazi wakaja tukakaa mezani tukala. Mimi napenda sana matani nikawatania pale tukacheka sana yani kama vile sina kitu najua, nikaingia ndani kwangu nikaoga nikaingia kitandani nikalala.

Mume wangu naye akaja tukalala akataka chakula chake cha usiku nikampa, tukalala langu rohoni, jamani basi asubuhi tumeamka dada ameshaandaa kifungua kinywa tukanywa tukawa tunaenda kazini na mume wangu.

Kama kawaida nikamwita dada nikamtuma mbali sana, tukaondoka zetu kazini nimefika eneo langu kazi mume wangu akanishusha yeye akaenda kazini kwake na mimi muda huohuo nikamwita bodaboda fasta nikamwambia anipeleke nyumbani.

Basi boda akafanya kama nilivyomwambia muda tu nipo nyumbani nikamlipa boda nikafungua mlango nikaingia ndani nikaufunga kama nilivyoukuta nikaingia ndani nikaa kidogo mara nikamsikia dada anarudi nikaingia ndani kwake nikaingia uvungu wa kitanda chake kimya.

Yeye akaingia akawa anaongea na simu kwa mahaba jamani anaongea na mume wangu anamwambia tayari kasharudi, basi mume wangu sijui alikuwa anamchekesha nini anacheka sana mdada, mara kukaa kidogo nasikia muungurumo wa gari mume wangu kaingia.

Basi jamani kapokelewa pale na mahaba motomoto, mume wangu akaanza kumbusu kushikashika mpaka ndani kwa mdada wa kazi wakaanza mahaba yao, mdada kashika dudu la mume wangu akaanza kunyonya, mume wangu anaugumia kama ng'ombe kanyang'anywa mwanawe jamani mimi nimejilaza tu moyo unavuja damu tu huko chini.

Basi wakaanza kufanya mapenzi, jaman mdada anavyonung'unika kwa mahaba mume wangu maneno anayotoa jamani nilishindwa kutoka kule uvunguni nikajikuta nazimia sikujua tena kinachoendelea nimekuja kujistukia nipo hospitali, naamka namkuta mume wangu yupo pembeni yangu analia.

Naangalia mkononi nina madrip nikakumbuka kilichotokea nikaliaa sana nikamwambia mume wangu kabla sijatoka hapa naomba huyo dada wakazi nisimkute maana nitamuua, akaondoka.

Mimi nikaa hospitali yeye akarudi nyumba akamuondoa huyo mdada sasa sijui kamrudisha kwao au kampeleka mahali, yani mimi na wewe hatujui.

Hapa sina raha mume wangu, namuona kama takataka yani sijui hata nifanye nini mimi hakuna ndugu yangu, wala rafiki yangu anayejua hili naombeni mnipe faraja na ushauri ulio sahihi nifanye nini ndugu yenu.
 
Mwanaume kuwa na relation 1, si asili yake, na kama unataka/unadhani uko peke yako....,JIULIZE UNAFANYA NN HASA ILI AACHE ASILI YAKE na awe na wewe tu...[Isaac Ndodi]....,

Kama mke....,hakikisha una sehemu kubwa ya hisia zake...ILA SIO ZOTE!,Umesema anakupenda sana&kukuhudumia vizuri...,sasa nn tena kufatilia na wengine anaowapenda?!.JUST IGNORE IT.. ,JAPO mwamba kaharibu kucheeeza uwanja wa nyumbani
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia mm nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi tukiwa tunakiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia mm nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi tukiwa tunakiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu
Mkuu Pole, Tulia, acha kupekua simu ya watu, acha kufumania ila kujua unachotaka ni nini?

Mwisho Mwambi mumeo aoe hausigeli huyo awe mke mwenzio.

Pembeni ya hapo atampangia wataendelea na penzi lao na huenda nyuma yenu ikavunjika
 
Back
Top Bottom