Nimegundua kuwa wanajf wengi access ya internet ni tatizo

Negrodemus

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
2,316
677
vigezo vya thread hii

wachangiaaj wanaonekana week end ni wachache sana

weng inaonyesha wanapata msaada wa internet za makazini

siku za kazi huwa mnapatikana humu jamvin kuazia asubuh mpk muda wa kufunga office

hivyo nawashauri to keep intouch muda wote coz huwa tunawamiss sana humu jamvini mngenunua hata desktop za lak na 70 mtie modem siku hiz wanauza mpk elfu 30 modem na malip[o pia ni cheap 30000 ni kwa mwez unlmtd

sio utan jaman huwa nawamis sana watu wang jmoc na j2 naja JF nikitegemea mtakuwepo lakin hakuna watu kama muda huu wapo 3927 wkt ingekua siku za za kazi mpk kumi na 5 elfu huwa tunakua online

najua weng mtatiririka huku chin kujibu thread hiii lakin itakua ni kesho c leo.

to be honest nawamiss sana mtajitetea leo mmetoka na familia au mmetembelae ndugu na rafik

Unalosema mipango mji ni kweli. Hata mimi nilikuwa sionekani weekend hadi nimeamua kununua modem hiyo unayosema. Lakini lazima tufahamu kuwa hali ya maisha ya watz wengi ni hivyo. Technolojia ya internet nayo bado ngumu sana kwa nchi yetu. Hivyo, tusiwalaumu sana wale hawaonekani mwishoni mwa wiki.
 
umeona eehh mi nilizani naeliona hili ni mimi tu
 
Jk akiamua kupiga pini JF kwenye ofisi za serikali wamekwisha! Wengi net za kudoea ofcn!!!
 
vigezo vya thread hii

wachangiaaj wanaonekana week end ni wachache sana

weng inaonyesha wanapata msaada wa internet za makazini

siku za kazi huwa mnapatikana humu jamvin kuazia asubuh mpk muda wa kufunga office

hivyo nawashauri to keep intouch muda wote coz huwa tunawamiss sana humu jamvini mngenunua hata desktop za lak na 70 mtie modem siku hiz wanauza mpk elfu 30 modem na malip[o pia ni cheap 30000 ni kwa mwez unlmtd

sio utan jaman huwa nawamis sana watu wang jmoc na j2 naja JF nikitegemea mtakuwepo lakin hakuna watu kama muda huu wapo 3927 wkt ingekua siku za za kazi mpk kumi na 5 elfu huwa tunakua online

najua weng mtatiririka huku chin kujibu thread hiii lakin itakua ni kesho c leo.

to be honest nawamiss sana mtajitetea leo mmetoka na familia au mmetembelae ndugu na rafik

Mkuu tupo sana, sema tunamajukumu mengine si unajua weekend tena, familia, shamba, vimiradi kadhaa, salamia ndugu na jamaa etc..lol
 
modem ya 30 ntapata wapi wana, ingawa sio kwa ajili ya JF b'se hii inapatikana tu hata kwenye haka ka-9300i kangu
 
Hehehe!
Tuchangieni hizo desktop na modem. Lol!
Ila via mobile tupo hewani muda wote.
 
kwani hali halis ya wa tz ww huijui???????tunabanana humo humo maoficn
 
Ngoja mipango miji ajibu hii modem anayosema. Mimi nimenunua ya airtel kwa 95.000/=, inabeba line yoyote. Lakini ukitaka inayochukua laini ya airtel tu ni sh. 65,000/=
 
Ndg yangu huku mtaani umeme nao ni shida, ofcn jenerator zipo. Kuna sb nying bwa Mipango Miji.
 
ni vzuri ushaur uliotoa ila naomba nisaidie hzo desktop za laki na 70, zinapatikana wapi? Itakua helpful 2 me.
 
mipango mji,
Let's be sincere with ourselves. A lot of us here rely on the office's internet accessbility. Wengi tuko serkalini, bank, makampuni ya simu etc.
Issue kubwa hapa ni FINANCE, kuunganisha mzunguko wa matumizi kwa siku ni kimbembe vinginevyo utumie mobile device kama yangu.
 
vigezo vya thread hii

wachangiaaj wanaonekana week end ni wachache sana

weng inaonyesha wanapata msaada wa internet za makazini

siku za kazi huwa mnapatikana humu jamvin kuazia asubuh mpk muda wa kufunga office

hivyo nawashauri to keep intouch muda wote coz huwa tunawamiss sana humu jamvini mngenunua hata desktop za lak na 70 mtie modem siku hiz wanauza mpk elfu 30 modem na malip[o pia ni cheap 30000 ni kwa mwez unlmtd

sio utan jaman huwa nawamis sana watu wang jmoc na j2 naja JF nikitegemea mtakuwepo lakin hakuna watu kama muda huu wapo 3927 wkt ingekua siku za za kazi mpk kumi na 5 elfu huwa tunakua online

najua weng mtatiririka huku chin kujibu thread hiii lakin itakua ni kesho c leo.

to be honest nawamiss sana mtajitetea leo mmetoka na familia au mmetembelae ndugu na rafik

Baadhi yetu wanakula kitabu na kufanya kazi. Kwa hiyo, muda anaopata kuchungulia jamvini ni muda ambao yuko ofisini na ana muda wa kufanya hivyo nje ya kazi (mfano kama ni mwandishi wa habari muda ambao anasubiri editor wake apitie habari yake au kama ni editor muda ambao ansubiri mwandishi alete habari ili apate kuihariri). Lakini kwa weekend, kama unavyosema na hasa kwa wale wanaopumzika siku mbili, inabidi kuzitumia vizuri kwa kula kitabu na pia wageni wanaokuja nyumbani kupata muda wa kuongea nao. Kwa bahati mbaya sisi wengine mbao tuna internet facility nyumbani, mare nyingi unakuta umeme hakuna au unakatika katika hata mara nne kwa siku na siku zingine sever inakuwa too slow kiasi kwamba unaweza hata ukamaliza sh 5,000/- ukisubiri bila kufunguka.
 
modem ya 30 ntapata wapi wana, ingawa sio kwa ajili ya JF b'se hii inapatikana tu hata kwenye haka ka-9300i kangu

msije sema natangaza biashara. tigo ni 30000, voda kuna 45000 na 55000 unachagua unataka ipi malipo pia unachagua ni unlimited 30000 per month unafanya unachotaka kudownloaad uploa n.k ttcl 60000, zantel 45000. airtel 6000. anaetaka kuchakachua modem yake ichukue line yeyote tutafutane ila msinitege kumbe ni maafisa masoko mkasema naaribu biashara nenda ofc za hiyo mitandao mawakala wachakachuzi
 
modem ya 30 ntapata wapi wana, ingawa sio kwa ajili ya JF b'se hii inapatikana tu hata kwenye haka ka-9300i kangu

Kama simu yako ina bluetooth huhitaji modem... unaweza tumia simu yako kama modem via bluetooth...
 
vigezo vya thread hii

wachangiaaj wanaonekana week end ni wachache sana

weng inaonyesha wanapata msaada wa internet za makazini

siku za kazi huwa mnapatikana humu jamvin kuazia asubuh mpk muda wa kufunga office

hivyo nawashauri to keep intouch muda wote coz huwa tunawamiss sana humu jamvini mngenunua hata desktop za lak na 70 mtie modem siku hiz wanauza mpk elfu 30 modem na malip[o pia ni cheap 30000 ni kwa mwez unlmtd

sio utan jaman huwa nawamis sana watu wang jmoc na j2 naja JF nikitegemea mtakuwepo lakin hakuna watu kama muda huu wapo 3927 wkt ingekua siku za za kazi mpk kumi na 5 elfu huwa tunakua online

najua weng mtatiririka huku chin kujibu thread hiii lakin itakua ni kesho c leo.

to be honest nawamiss sana mtajitetea leo mmetoka na familia au mmetembelae ndugu na rafik

"Posted via Mobile"
Mi sidhani km mtandao,usisahau wengine wanatumia simu zao!hiyo sentensi hapo juu naiona sana tu kwenye post nyingi!Nafikiri issue sio mtandao,japo nayo itachangia,ila issue ni kusettle.Ofisini mtu ukipiga assignment yako ikiisha unakuwa umesetle.Hapo unaweza kuingia kwenye jf,mara fb,mara unagoogle ilimradi tu muda uende.Ila weekend miangaiko ni mingi.Wengine wanashinda barabarani tangia Asubuhi mpaka jioni.
 
Back
Top Bottom