Nimegundua kuwa wanajf wengi access ya internet ni tatizo

Mkuu Kang, asante kwa hii software, kuhusu unlimited ya voda wanakulimit kwenye speed mkuu, wanakupa speed ya 64kbps ambayo nadhani itakuwa na mwendo wa kobe...

Ikinibidi itanipasa kuhamia voda maana sasa internet imekuwa ni sehemu ya maisha yangu popote pale nilipo.

Yeah kama unataka kudownload vitu haraka au kucheki sana video haifai, ila kwa jf and facebook inakutoa. Kudownload nilikuwa natumia download manager naiacha overnite.
 
Hahahahaha hii mada ina ukweli hapa ofisini kwetu tuko 8
lakini hata bosi wetu nae huwa anaingia JF alafu anatulaumu
sisi tunachat sana na kuchangia mada jamvini wakati nae yupo
tena pamoja na msaidizi wake.
 
Yeah kama unataka kudownload vitu haraka au kucheki sana video haifai, ila kwa jf and facebook inakutoa. Kudownload nilikuwa natumia download manager naiacha overnite.

Ok, mkuu, naomba kuuliza, ukiacha usiku mzima unaweza kudownload file la ukubwa wa size gani hadi asubuhi?
 
mkuu wako wapi hao jamaa naona nimeanza kuvutiwa nao, vipi wanatoa unlimited?

Mkuu, hawa jamaa wanaitwa misigacom, jaribu kuwa google, ni jamaa wananunua connection kubwa kwa Simbanet na wao kuiuza kwa wateja wao kwa ukita vipande vipande, ni wazuri kwa kweli, ila kwa hapa Dar wapo Mbezi Beach na kati kati ya mji. Hawa jamaa wameniunganishia home na mimi kupatikana nyumbani ni weekend tu, hivyo mda wingi vijana ndio wanakesha wakidownload ma movies.

Kama nilivyo sema hapo juu jamaa wanatumia wired, hivyo mti ukidondokea huna net siku 3, maana hawana mafundi wa kazi hiyo hivyo wanavizia mafundi wa TTCL kuwa fanyia hiyo kazi kwa mapalipo ya hapo kwa hapo.
 
gharama ya kukuonganishia ni kiasi gani?
 
Dah sasa na hiini habari ya teknolojia Au ndo moderator wameamua kupotezea huku kimtindo ?

Teh teh teh
 
Back
Top Bottom