Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

Hivi Dr. W. P. Slaa ameshawahi kupewa shahada ya heshima na vyuo vyetu hapa Tanzania ? Kama bado vyuo hivyo vinasubiri nini? Mbona kikwete anapewa shahada kila mwaka?

Slaa amefanya mambo mengi ya kuelimisha umma, ni mwenyekiti wa bodi ya ccbrt ambayo inasaidia wanyonge etc . Afanye tena nini mumpe shahada ya heshima nyie wahusika au mnasubiri akiwa rais 2015?

Dr hana haja tena na shahada hizo za kinafiki,za kujuana na kujikomba!Dr ana shahada ya heshima iliyo kuu zaidi!shahada kutoka ndani kabisa ya mioyo ya watanzania waadilifu.
 
Kwa wale wanaopitia pitia maandiko ya Biblia inaonekana ni kama vile Nchi yetu inapitia katika kipindi kama kile cha Daud na Sauli, Yaani Daudi kawa appointed kuwa King lakini Sauli akawa ndio yuko Ikulu, then ukafika Muda Kijana akaingia Ikulu na kusababisha maendeleo, mafanikio, rehema, neema na furaha kubwa kwa waisrael wakati wa Utawala wake.

Namtakia afya njema DR SLAA.
 
pia kukubali kuacha ubunge,chadema imepata mafanikio makubwa sana!inaonyesha jinsi asivyo na uroho wa madaraka
Na mimi hili nalikubali sana kwa kweli hauwezi kuwa msemaji wa chama, mbunge na mkuu wa wilaya kisha ukafanya kazi zako zote kwa tija.
 
Mungu mbariki na umtie nguvu Daktari Wilbroad Peter Slaa, element zake zinaendana kidogo na mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Mu7 wa Uganda Daktari Kiza Besige. Hawa ndiyo wapinzani waukweli.
 
Mungu mbariki na umtie nguvu Daktari Wilbroad Peter Slaa, element zake zinaendana kidogo na mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Mu7 Daktari Kiza Besige. Hawa ndiyo wapinzani waukweli.
 
you'v reminded me siku ile jioni akiwa itv kwenye mdahalo wa wagombea urais!i felt like a new independence of our country was around th corner and a new Mwl Nyerere in the image of dr Slaa and a new TANU by the name CHADEMA were right there showing us the way kwenye kuipatia tanzania yetu uhuru mpya.nahisi nilijihisi kama wale walokuwepo miaka ya 60,61!we acha tu
 
Huyo ndiye RAIS wangu na kiongozi wangu, Huyo mwingine ananitawala kibabe tuu, na anajua hakushinda!!
 
Mimi alinuliza swali kwenye Twiter, wewe ni Mwalim? Nilijisikiwa kuwa mbunge wa viti maalum!
 
Nadhani anashugulikia hati za lile jengo la makao makuu ya CHADEMA alilojitolea Sabodo. Jamaa ana uchungu na nchi ndio maana yuko mstari wa mbele wa mapambano muda wote. Unafikiri hana mialiko ya kwenda kwa wazungu kama JK na Lipumba? Anayo lakini ameweka Tanganyika Kwanza!

There are very few people of his kind in this world, but the world is very slow to lean about them. The are remembered when they RIP. We dont have to do this mistake in 2015.
 
safi sana asee hata mimi nilifarijika sana siku nilipopiga nae picha chuoni na nakumbuka tulisukuma gari lake kwa mwendo mrefu sana safi hiyooo RAIS WA KWELI KWENYE MIOYO YA WATANZANIA
 
Dr.slaa ni kiongozi pekee wa hadhi ya juu ambaye nimempiga picha kwa simu yangu.. Tukiwa umbali wa cm 4 kutoka hadi kwangu... Nilijitoa kama ni kupigwa hacha nipigwe lakini nakumbuka alimwambia mlinzi wake ..mwache..
Dr slaa ubarikiwe
 
Aisee umenikumbusha kitu ambacho huwa kinanipa faraja sana. siku alikuwa moro, nilisubiri hadi alipopita ndani ya gari lake na kumuonesha ishara yetu ya v, naye akarudisha vilevile. yaani raha wiki nzima. long live dr slaa.
 
Rehema za Mungu ziwe pamoja nawe Dr. Slaa... Mungu akuzidishie maisha marefu kama Mandela, ili uweze kuona ukombozi wa kweli kupitia jitihada zako...
 
Back
Top Bottom