Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

Niliwahi kutana naye Tegeta magengeni akiwa kwenye gari, nilitamani nizime gali na kushuka hapohapo nimsalimu, nikahofia kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara(ukizingatia Tegeta palivyo kipindi hiki cha ujenzi wa barabara).
 
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Tukawa tunapishana kwenye ngazi:yeye anashuka,mimi napanda. Alikuwa ana Mlinzi wake mmoja aliyevalia suti nyeusi.Nikamsalimu.Akaitikia.Nilihisi furaha isiyo na kifani moyoni mwangu.Kupishana na mtu makini ambaye nilimpigia kura yangu ya Urais na 'kumshindisha' ,tena kwa umbali kama ule,ni jambo kubwa kwangu.Dr.Slaa bado anadai.Nafasi yake yake bado ipo wazi.Kwa kifupi,nimefarijika sana...asante Dr.Slaa hata kwa kuniitikia salamu yangu tu...
Inatia faraja sana kukutana na viongozi wa CDM.....yaani ukikutana na viongozi wengi wa CCM unaingiwa na chuki ghafla....sijui kwa nini aisee
 
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Tukawa tunapishana kwenye ngazi:yeye anashuka,mimi napanda. Alikuwa ana Mlinzi wake mmoja aliyevalia suti nyeusi.Nikamsalimu.Akaitikia.

Nilihisi furaha isiyo na kifani moyoni mwangu.Kupishana na mtu makini ambaye nilimpigia kura yangu ya Urais na 'kumshindisha' ,tena kwa umbali kama ule,ni jambo kubwa kwangu.Dr.Slaa bado anadai.Nafasi yake yake bado ipo wazi.Kwa kifupi,nimefarijika sana...asante Dr.Slaa hata kwa kuniitikia salamu yangu tu...

Hata mimi natamani nikutane nae......!
 
Sana Mkuu.Nimepatwa na nguvu mpya.Nakaribia kufuata kadi ya CHADEMA kama chama changu cha kwanza cha siasa maishani mwangu...
Mkuu jaribu kutengeneza picha kichwani mwako. kama katika ngazi zile ungekuwa umekutana na Mukama katibu mkuu wa kile chama kile kile, jee ungejisikiaje muda huu?
 
Dah! Nakumbuka alivyokuja Iringa kwenye kampeni za Urais niliangaika sana kutaka kupiga naye picha tu ilishindikana dah! Natamani siku nije nikutane na huyu Dr.Slaa aniongeleshe hata neno moja Kijana hujambo, ntafarijika sana kiukweli!
 
Kikwete ni chaguo la Mungu: Mungu alituchagulia ili tuone uchungu na nchi yetu na tumuone DR Slaa kama Tegemeo jipya. Wana wa Israel walipotaka kujichagulia Kiongozi Mungu alimuweka Sauli ambaye hakuwa kiongozi bora, kwa hiyo dk Slaa ni Tumain Jipya baada ya ukaid wetu wa kumchagua KIKWETE
 
Nakuonea wivu sana, ningalikutana nae mimi ningalijitahidi nimshike mkono alafu nisingenawa mpaka mwaka 2015 atakapokuwa rais rasmi!.
 
Ukweli Rais wetu Dr slaa 2015 ni raisi ambaye hana makuu na mimi pia nilifurai niliposalimiana naye Arumeru mashariki.
 
Tumeongea sana, Mungu ametupa mpigania haki, tumuunge mkono; Tusiogopeshwe na wezi, mungu yuko upande wetu nani atatushida, kama tukimpigia makoti mungu tunaweza kumsimamia yeyote.
 
Inatia faraja sana kukutana na viongozi wa CDM.....yaani ukikutana na viongozi wengi wa CCM unaingiwa na chuki ghafla....sijui kwa nini aisee

Kweli kabisa..yaani ilikuwa Ijumaa pale kwenye Msikiti wa Upanga baada ya Swala ya Ijumaa..nilimuona Shukuru Kawambwa (Waziri wa Elimu)..nilisikia chuki kubwa sana rohoni, yaani roho ya ugaidi bado kidogo initembelee! Namshukuru Allah alinisaidia...I hate CCM and All its Contents.
 
Back
Top Bottom