Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

Nlibadilishana nae mawazo ktk mkutano na viongozi wa cdm kata za arusha mjini mwaka jana..ni mtu wa suluhu..alituweka sawa.NLIFARIJIKA,HANA MAKUU.DR ur ma president,we like you
 
Nlibadilishana nae mawazo ktk mkutano na viongozi wa cdm kata za arusha mjini mwaka jana..ni mtu wa suluhu..alituweka sawa.NLIFARIJIKA,HANA MAKUU.DR ur ma president,we like you[/QUOT

We akikusikia TUNTUMEKE unasema maneno haya.........
 
Hebu siku nyingine ukipishana na Mkapa jaribu kumsalimia kama ulivyofanya kwa Dr. Slaa, Halafu uone kama atakuitikia
 
Hakuna kitu kizuri kama unapopoteza matumaina na taifa lako then akaja mkombozi wa kweli kutoka moyoni na akakubalika kwa hoja na sio kishabiki basi ni Dr.Slaa.
 
Daaainataman na mimi nkutane nae,harafu aniulze kijana njia ya kwenda ofis za chadema mpya hpa n ipi?yaan simuelez ntampeleka kabsa hta km anazfaham.
 
Daaa!,nataman na mimi nkutane nae,harafu aniulze kijana njia ya kwenda ofis za chadema mpya hpa n ipi?yaan simuelez ntampeleka kabsa hta km anazfaham.
 
Mbunge wangu lema, rais wangu dr slaa, rais uongozae toka ndani ya kilindi cha moyo wangu. Nilikupa kura yangu nanitaendelea kukupa kura yangu kila iitwapo siku.
Viva dr slaa, viva chadema , viva tanzania
dr slaa, the president
 
That's the beginning.....yaani inatia faraja sana kukutana na Viongozi wa CDM....yaani ukikutana na viongozi wa CCM unahisi chuki ghafla
 
Rais chaguo la watu

Dr. Slaa; Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania.
.
Saint Ivuga VUTA-NKUVUTE Mungi BONGOLALA RUBERTS Ulukolokwitanga Amiliki Bangoo Hegelyakoni Ndakilawe lemonade .DALLAI LAMA Mgibeon Shekispia

Umenikumbusha hii picha yaani ukiangalia nyuso za watu unaona wanamuangalia kiongozi wao huku wakiwa na matumaini na kumuamini kwa asilimia 100 ... ni nadra sana watu wakikupenda kutuka moyoni na kukuamini.

Hebu iangalie hii picha ... hawa hawana tofauti na huyu anaefurahi kuitikiwa salamu tu kutoka kwa kiongozi wake!

nyerere_with_people.jpg
 
Back
Top Bottom