Nimefarijika kwa matokeo ya Kidato cha Sita kwa kuona Shule ya Serikali Kibaha imeongoza kitaifa

Kwa nini Kibaha imeongoza ni kwa sababu ni shule ya kipekee kidogo ukilinganisha na special nyingine. Pale Kibaha ni karibu na Dar na pia shule ile kidogo ina mazingira mazuri ya kusoma ukilinganisha na shule nyingi nchini. Pia kibaha wanakula vizuri nadhani kuliko shule zote za serikali (tuliosoma hapo ni mashahidi)

Kwa kuwa ni special school uwa inachukua cream za waliomaliza o level na kwa kuwa mazingira yake si mabaya wazazi hata wale ambao watoto wao walisoma private ukubali waende kusoma kibaha na kwa kuwa ni karibu na Dar uwangalizi wa karibu unakuwepo. HIVYOO
 
inafarijisha sana mkuu.
inabidi hatua ipigwe zaidi zianze kuonena na shule nyingne za serikali nje ya zile maalum.
pia hao walioongoza ndio waende CHUO KUANZA na degree ya UALIMU kama mkakati wa kuboresha ELIMU ikiwa ni sekta muhimu kuelekea NCHI YA VIWANDA. hapo vipi!? wasemaje!! ikiwezekana na inawezekana wakianza kazi ya ualimu baada ya kuhitimu WALIPWE MISHAHARA MINONO KUPITA WABUNGE
 
sio bongoland.
 
Mhhhh Tabora Boys shule yangu masikini.
Bwana Petro E. Mselewa kama huu ufaulu siyo wa kisiasa na kupikwa basi nawapa hongera sana Kibaha.
Kuzipita shule kama Marian Girls na Feza boys siyo kazi ndogo hasa kwa aina ya ufundishaji wetu wa kipindi hiki.
Ni habari njema kama shule za umma zinarudi kwenye hali nzuri, maana ndiyo kimbilio la wengi. Kama kutakuwa na ujinga wa kuingiza siasa huko, taifa litazidi kudidimia kwa manufaa ya wanasiasa
 
Back
Top Bottom