Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
dada haujui ikulu kukiloa kunakuaje?
sijauliza kunakuwaje lakini.
dada haujui ikulu kukiloa kunakuaje?
sijauliza kunakuwaje lakini.
dah,2 be honest swali lako linazidi kuniumiza...it hurts!
ahahaa husninyo bwana kumeloa loh...Ikulu kumeloa nini?
ahahaa husninyo bwana kumeloa loh...
samahani sana. Dah, pole jamani sikukusudia..
ahahaa husninyo bwana kumeloa loh...
mi sijui bwana kulikuwa kumelowa nini maana sikuwepo wewe ndo shaidi sema kulikuwakumeloa niniBebii ebu mwambie kukiloa kunakuaje!
1.si vema kukaguana ikulu.unamdhalilisha shem,wanaume hatufanyi hivyo.
2.kuna njia nyingi za kumwachisha pombe.
3.kwa sasa hakikisha unakuwa nae ulevini wakati huo ukiwa na soda yako pembeni,kwa staili hiyo utaibiwaje???
mi sijui bwana kulikuwa kumelowa nini maana sikuwepo wewe ndo shaidi sema kulikuwakumeloa nini
dah,2 be honest swali lako linazidi kuniumiza...it hurts!
mmmmmh!..una mapenzi hata shetani anaogopa
pole sana fanya maombisasa mkuu nifanyeje?
Muache kabla mambo hayajakuwa mabaya. Kutakuwa na sababu kwa nini anakunywa kiasi hicho. Isije kuwa wewe ndiyo sababu.
pole sana. Endelea kumweleza madhara ya kulewa kwake huku ukimshirikisha mungu through maombi.