nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

Hahahahaaa huyu ni bwana mdogo anajiita Bagah....leo naona kapewa ofa na Nitty na Kongosho...
Teh anakunywa sana si unajua vya bure kwake ni faraja.....

wee...mtu yuko sisimizi bar anaweza kuntoa ofa mm kweli...sisimizi bia kama police mess...buku buku...nipisheee erick!
 
Nimekuja darlin, nilivyokumiss.. Lakini naona vinywaji vimejaa mezani nani huyo anakunywa bia zote hizo eh?!

B52 ndio kanywa zote hizi huoni alivyo kuwa amezungukwa na madada flan hivi
 
Nitty kweli? Maana simuoni hapa mi nlikua nna maongezi na bagah narudi simuoni.. Mmh lakini i trust him..mpaka nishuhudie mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom