nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

Nitty kweli? Maana simuoni hapa mi nlikua nna maongezi na bagah narudi simuoni.. Mmh lakini i trust him..mpaka nishuhudie mwenyewe!
Nilienda kuchukua la kujihami(Panga) coz sina amani na huyu Bagah na Nitty ukizingatia washalewa...lol
 
Nitty imeanza kunchafua eeh
Hapa utaambulia patupu...mapenzi yetu na Amy ni Next Level...sio km wewe na SL

Mwenzio tayari SL nimeshamuingiza ndani wakati wewe ndio kwaanza unamtegea Amyner kwenye kona, halafu hili jina linanipa utata kuliandika
 
Nitty kweli? Maana simuoni hapa mi nlikua nna maongezi na bagah narudi simuoni.. Mmh lakini i trust him..mpaka nishuhudie mwenyewe!

Ni kweli Amyner B52 amebadilika siku hizi leo nimemkuta kwenye uzi mmoja anamendea mke wangu SL
 
Ni kweli Amyner B52 amebadilika siku hizi leo nimemkuta kwenye uzi mmoja anamendea mke wangu SL
Aiseeeee
kweli mume wa SL kashaharibika...yani ni umbeya na majungu mwanzimo mwisho...we ndo unamnendea Amy that's why unajitahidi kuniharibia.
I love u Amy....Nitty soma namba...vuuuup
 
Ni kweli Amyner B52 amebadilika siku hizi leo nimemkuta kwenye uzi mmoja anamendea mke wangu SL

SERIOUS?? I CANT BELIEVE THIS!
This is to you RICKY: GOODBYE! Am leaving na hautonikuta nyumbani.. Dont call or text me! EVER. (Am crying)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom