nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

SERIOUS?? I CANT BELIEVE THIS!
This is to you RICKY: GOODBYE! Am leaving na hautonikuta nyumbani.. Dont call or text me! EVER. (Am crying)
Bby huo ni uzushi nadhani unawajua Nitty...SweetLady na Kabakabana walivyo....yan kila kukicha maneno kisa unanifaidi...
Siwezi kukusaliti mpenzi wangu...
I love u sooo much Amy
 
Mi mzima mwaya.. Nataka kuja kukunong'oneza kitu hapo..

njoo mama...samahani huyu barmed nae si mchezo kaniteka gafla...njoo uokoe hili balaa...si unajua bia inaumba mdada awe kama beyonce
 
Bby huo ni uzushi nadhani unawajua Nitty...SweetLady na Kabakabana walivyo....yan kila kukicha maneno kisa unanifaidi...
Siwezi kukusaliti mpenzi wangu...
I love u sooo much Amy

better...
 
Bby huo ni uzushi nadhani unawajua Nitty...SweetLady na Kabakabana walivyo....yan kila kukicha maneno kisa unanifaidi...
Siwezi kukusaliti mpenzi wangu...
I love u sooo much Amy

yani leo nilivyotulia bado unanichokoa tu,
 
Bby huo ni uzushi nadhani unawajua Nitty...SweetLady na Kabakabana walivyo....yan kila kukicha maneno kisa unanifaidi...
Siwezi kukusaliti mpenzi wangu...
I love u sooo much Amy

Usiingize familia yangu kwenye ugomvi wako
 
mnisamehe...nilizima!funda moja la ziada limeniumbua...savanah sasa...nikamalize siku...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom