Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
sema tu unataka kumwunganishia mtoto. ila kama ndo kaifadhiwa na kongosho na nitonye , itakuwa kazi!
Usinivunjie heshima yangu kwa SL tafadhali
Jamani bby wananitesa hawa Bagah na Nitonye....tena wananinyanyasa sana tangu mchana.
Nilikumisssssssss
Haya Nitty Sema sasa....huyoooooooo
namla kiupande upande
una mpango gani na mbavu zangu?
Nimekuja darlin, nilivyokumiss.. Lakini naona vinywaji vimejaa mezani nani huyo anakunywa bia zote hizo eh?!
Ha ha ha ha ..... Sema kweli Konnie..
Aidha una hisa,ama unairun wewe mwenyewe hiyo joint..
Huwa unaimention several times..
Hahahahaaa huyu ni bwana mdogo anajiita Bagah....leo naona kapewa ofa na Nitty na Kongosho...
Teh anakunywa sana si unajua vya bure kwake ni faraja.....
Nimekuja darlin, nilivyokumiss.. Lakini naona vinywaji vimejaa mezani nani huyo anakunywa bia zote hizo eh?!
anazifakamia kama nini
hajui bure aghali
mimi, nitonye, dogo Bagah, Konnie. hunywi AMY?
ww pumzika...
mimi, nitonye, dogo Bagah, Konnie. hunywi AMY?