Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,070
Heri yangu sijasema mwaya.
Kumbe we mwoga?
Heri yangu sijasema mwaya.
Hivi na wewe bi dada,
umemshindwaje ERICK25 unamrudia huyu mzee mwenzangu.
Una akili sana wewe!mimi huyu? BADILI TABIA?
nikamsute bepari Bishanga?
halafu hii
View attachment 56812
niikose????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!
na huu mpunga je?
View attachment 56814
Unapenda ushambenga eh? Yatakushinda!
Una hiyari kwangu wewe?Dah, nyie watu hamnazo kabisa.
Nimechaka mpaka basi.
Naskia bnanii za shoti yangu bishanga zimenyauka kwa woga.
Bado natafakari, nimsute nisimsute?
Nikimsuta, ntakosa shoti
Nikimuacha atajidai mno
Hebu nichagulieni nikae timu gani?
Hayanishindi mtoto wa kiswahili mie nimezaliwa kambi ya jeshi nikakulia line polishi unalo ilo, hallo.
Judgement!Mar'haba mwanangu!
Kumbe Mamndenyi kitu ya adabu!
Mamndenyi umeolewa?
Kama vipi , poa nimposee fasta Binamu yangu, ukoo wetu unahitaji mavitu ya kihivi.
Kama likitu langu.
ZINDUNA husihofu nimenunua dela jipya naenda kuchukua pajama skin tight itanizingua nataka kujimwaya mwaya shughuli ndo hii imepata washughulishaji na wanashughuli ndo hii ukisikia mtu kupata KORODANI CONCUSSION NDO LEO
We kila kukicha unawaza kengele za bishanga tu,mtoto wewe!
lazima niziwaze nilipoziona ulipofumaniwa zilivyosinyaa kwa huzuni hadi huruma
mimi huyu? BADILI TABIA?
nikamsute bepari Bishanga?
halafu hii
View attachment 56812
niikose????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!
na huu mpunga je?
View attachment 56814
Ni kweli umeziona lakina kua muwazi ueleze uliziona katika mazingira yapi.