Nimeandaa ngoma ya "KILUGWAI" kwenda kumsuta Bishanga

Unawaona Kipipi, The secretary na Amyner wameahsjianadaa
Chezea wanawake wa JF weye
33561_107206476009899_100001616412253_64665_6095414_n+(1).jpg

The Secretary? Hivi we hujui bi kidude ndo TS in real life?
 
Dah, nyie watu hamnazo kabisa.

Nimechaka mpaka basi.
Naskia bnanii za shoti yangu bishanga zimenyauka kwa woga.


Bado natafakari, nimsute nisimsute?

Nikimsuta, ntakosa shoti
Nikimuacha atajidai mno

Hebu nichagulieni nikae timu gani?
 
Namuona Mamndenyi ndio keshavaa Dera lake kwa maandalizi, leo patakuwa hapatoshi hapa!

_Carnival_Parade_arrives_by_Pernille_Baerendtsen_IMG_7113.jpg

Mar'haba mwanangu!
Kumbe Mamndenyi kitu ya adabu!
Mamndenyi umeolewa?
Kama vipi , poa nimposee fasta Binamu yangu, ukoo wetu unahitaji mavitu ya kihivi.
Kama likitu langu.
 
Last edited by a moderator:
nimejaaje sasa Zinduna! asutwe, asutwe, tena mie toka asubuhi leo nilikuwa namuonya kuwa atasutwa kwa kushadadia yasomuhusu! akimaliza kusutwa avekwe dera, apakwe hina, awekwe barazani apewe maneno ya hekima, nadhani UPOPO nafaa kwenye kumfunda!
 
Last edited by a moderator:
ZINDUNA husihofu nimenunua dela jipya naenda kuchukua pajama skin tight itanizingua nataka kujimwaya mwaya shughuli ndo hii imepata washughulishaji na wanashughuli ndo hii ukisikia mtu kupata KORODANI CONCUSSION NDO LEO
 
Dah, nyie watu hamnazo kabisa.

Nimechaka mpaka basi.
Naskia bnanii za shoti yangu bishanga zimenyauka kwa woga.


Bado natafakari, nimsute nisimsute?

Nikimsuta, ntakosa shoti
Nikimuacha atajidai mno

Hebu nichagulieni nikae timu gani?
Una hiyari kwangu wewe?
 
ZINDUNA husihofu nimenunua dela jipya naenda kuchukua pajama skin tight itanizingua nataka kujimwaya mwaya shughuli ndo hii imepata washughulishaji na wanashughuli ndo hii ukisikia mtu kupata KORODANI CONCUSSION NDO LEO

We kila kukicha unawaza kengele za bishanga tu,mtoto wewe!
 
Jamanieee haya hayaaaaa kumekucha, sasa tulianzishe JARAMBA hadi ukumbini kwake, kila mtu afunge kibwebwe!
 
Mko wapi WALIHAKU mie ndo nishashika vuvuzela hapa nwasubiri!
Prakata tumba
Tumba
Prakata tumba
Tumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom