EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
pale uliposema pango la kibanda chako ni kama mshahara wa DC ndo nikastuka unatuchota akiliUpdate
Saa 10:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na jf bado sija acha, naendelea kumfuatilia Polepole kujiunga CCM, siku nikifanikiwa ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.
Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali