Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,604
Kunapotokea ajali yoyote kama ile ya Mabomu ya Mbagala, na baadaye kuundwa tume, matokeo ya tume hiyo yakawekwa siri, sasa inapotokea ajali kama ile ile bila taarifa rasmi ya nini chanzo, huwe ku rule out any conspiracy theory ndio maana wajeshi wao wakaikimbia kambi, walioukufa ni raia tuu.
Ila pia kwa jeshi letu na military inteligency yetu, wahusika watashikwa na court marshal itakaa na kuamua wa vanish into thin air!, as if they had never existed!.
Ila pia kwa jeshi letu na military inteligency yetu, wahusika watashikwa na court marshal itakaa na kuamua wa vanish into thin air!, as if they had never existed!.