Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

Rurakha

Senior Member
Oct 20, 2019
121
209
Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.

Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.

Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
 
Ni kutapatapa tu. Hivi unadhani tatizo ni nini? Kutotumia maguvu kwenye kuendesha shirika? Hata kama tatizo ni kutotumia ''maguvu, jeshini unadhani hakuna wazembe? Kwa nini mnataka kutubu dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenye ambao ni CCM?
 
Dawa ni kuibinafsisha tu wawape sekta binafsi
Hii ndiyo dawa pekee ya uhakika na waruhusiwe na kampuni zingine binafsi kuzalisha na kuuza umeme

Hakuna sekta ambayo haisimamiwi na jeshi kwa sababu Samia mwenyewe ni amiri jeshi mkuu
 
Another rubbish thread...

Tatizo la" Embecilaziation of a nation " linajitokeza waziwazi hapa...
Kwamba kila tatizo itumike nyundo kushughulika nalo..

Nini kifanyike kwa ushauri wako? Tuendelee tu hivi hivi au? Toa maoni yako ingawa inaonekana ni mnufaika wa katanesco
 
Ni kutapatapa tu. Hivi unadhani tatizo ni nini? Kutotumia maguvu kwenye kuendesha shirika? Hata kama tatizo ni kutotumia ''maguvu, jeshini unadhani hakuna wazembe? Kwa nini mnataka kutubu dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenye ambao ni CCM?
na wewe ndio mwiz mwenyewe haiwezekani nasema haiwezekan wapewe tu wajeda na nchi yenyewe wapewe wajeda tumechoka kwakweri
 
Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.

Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.

Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Bado shida itakuwepo,igawanywe sehemu tatu.1.uzalishaji.2.Usambazaji 3.huduma..Ikiwezekana 1 & 2 wawe na bajeti zao.Ila namba 3.awe chini ya uangalizi kwani ndie mkusanyaji wa pato baada ya huduma..Utaratibu uwe 1 na 2 ijumuishe hata secta binafsi na sirikali pia.
 
Wafanyakazi wa tanesco wapumzishwe alafu jeshi liwe na kitengo cha umeme wa Taifa.Kuwe na kamandi moja ya umeme ikiwa na wataalamu waliosemeshwa na serikali hapo kama tupo siriazi basi tatizo la umeme tutasahau.
 
Back
Top Bottom