jamani,hii mishahara ya maofisa wa majeshi iko juu mno kwa mfano constable wa polisi,magereza,uhamiaji au private wa jw hupokea basic salary 230,000 baada ya makato take home inabaki 180,000 huku ofisa mwenye nyota moja hupokea basic laki 5 take home kama laki 420,000.na kuanzia kamishna msaidizi hupokea 1milioni na laki moja au mbili.mfano kuna NAIBU KAMISHNA hupokea 1.96milion kwa mwezi.amesahau hata kubeba bunduki,sisi tunabeba bunduki kila siku lakini kamshahara kaduchu.mmmhh...